Simba SC yapokwa pointi 3 dhidi ya Kagera Sukari

Simba SC yapokwa pointi 3 dhidi ya Kagera Sukari

Maamuzi hayapitwi na muda mpaka pale ligi inapokuwa imeisha. Azam walinyang'anya point miezi mitatu baada ya kuwa wamecheza mechi kwenye ligi iliyopita kwa kosa hilohilo walipocheza na prisons tena bila prisons wenyewe kuwa na taarifa.
Unachosema sawa ila kamati imepitisha maamuzi ' eti simba hisikate rufaa tena kwa maamuzi haya'
 
Sio kweli. Kwanza si jukumu la klabu moja kuweka rekodi za kadi za wapinzani wake. Klabu inapopata taarifa muda wowote kabla ligi haijaisha inaweza kuomba ipewe ushindi kama mpinzani wake alichezesha mchezaji asiyeruhusiwa. Kumbuka ligi iliyopita Azam alinyanganywa ushindi wake dhidi ya prisons ligi ikiwa imebakisha mechi mbili au tatu wskati hiyo mechi imechezwa miezi mitatu nyuma na hata hao prisons wakiwa hawajalalamika kwa kosa hilohilo.

Iko hivi.

Kwa kawaida mchezaji aonekanapo na kosa ni lazima ukate rufaa. Kwenye utaratibu wa kukata rufaa kuna kanuni zake ambapo kuna muda maarumu umetengwa wa kupokea rufaa yeyote bila kuzingatia aina ya kosa lililopelekea rufaa!

Kama ukienda nje ya muda wa kuwasilisha rufaa na ukataka kulamiza rufaa yako isikilizwe kwakuwa wewe ni Simba SC au ni Yanga SC kunaondoa maana nzimaya kuwa na kanuni zinazoongoza rufaa.

swala la msingi ni rufaa kuwasilishwa nje ya muda!Hayo mengine ya kwamba hana au anayo kadi acha viongozwe na kanuni nyinginezo!

Kwakuwa hata kama alikuwa nayo kadi na wewe hukufuata sheria kwenye kuwasilisha rufaa yako unakuwa na uhalali gani wa rufaa yako kufanyiwa kazi..

Tuzingatie sheria wajameni!
 
Kagera Sugar wanaweza kuwa na kosa lakini je sheria ilizingatiwa kwa mlalamikaji alifuata sheria kuwasilisha rufaa yake?

Kama wangewasilisha kwenye muda ilo suala la kadi ya njano ndipo lingeanza kufanyiwa kazi.
Ukiongea hvyo utawapa kichwa hao kadi ya 3 ipi? wanadai Fakhi alipata kadi dk ya 70 cjui sabina ngapi cjui ilhali muda huo alishatoka baada ya kuumia!
 
Maamuzi hayapitwi na muda mpaka pale ligi inapokuwa imeisha. Azam walinyang'anya point miezi mitatu baada ya kuwa wamecheza mechi kwenye ligi iliyopita kwa kosa hilohilo walipocheza na prisons tena bila prisons wenyewe kuwa na taarifa.
Yakupasa ukumbuke kuwa je msimu huo kanuni ya Muda wa kuwasilisha rufaa ilikuwa inafanya kazi? Kama hapana, basi ilistahili.
 
Ukiongea hvyo utawapa kichwa hao kadi ya 3 ipi? wanadai Fakhi alipata kadi dk ya 70 cjui sabina ngapi cjui ilhali muda huo alishatoka baada ya kuumia!

Unajua kuna suala la msingi mno huwa wanalikwepa hawa mashabiki wa simba ..

Ukiwauliza kwanini hamkupeleka rufaa yenu ndani ya muda unao akiwa kikanuni? Hawakupi jibu sahihi...Ila watakuambia mbona Azam FC walipelekewa TFF rufaa na wadai wao baada ya mwezi msimu wa nyuma!

wanasahau kuwa kanuni za kuendesha ligi hubadilika na kila msimu huongezeka na nyingine kuondolewa!
 
Hapo hapakuwa na rufaa wala nini Bali bodi ya ligi iliangalia kwenye rekodi zake ikafanya uamuzi bila hata prisons kuwa wamelalamika.

Yakupasa ukumbuke kuwa je msimu huo kanuni ya Muda wa kuwasilisha rufaa ilikuwa inafanya kazi? Kama hapana, basi ilistahili.
 
Naona unataka kuleta ushabiki. Prisons wslipewa point za AZAM Bila hata ya wao wenyewe kulalamika. Ni bodi ya ligi yenyewe tu ndio ilikuwa inajua makosa ya Azam. Hakukuwa na rufaa. A cha kupotosha. Maamuzi yanachukuliwa muda wowote kabla ya Luigi kuisha.

Unajua kuna suala la msingi mno huwa wanalikwepa hawa mashabiki wa simba ..

Ukiwauliza kwanini hamkupeleka rufaa yenu ndani ya muda unao akiwa kikanuni? Hawakupi jibu sahihi...Ila watakuambia mbona Azam FC walipelekewa TFF rufaa na wadai wao baada ya mwezi msimu wa nyuma!

wanasahau kuwa kanuni za kuendesha ligi hubadilika na kila msimu huongezeka na nyingine kuondolewa!
 
Serengeti boys walitolewa na wale waCongo lakini CAF wamewarudisha mashindanoni. Fair play kwenye soccer ni pamoja na kuzingatia vigezo na masharti.
Kwani vigezo na masharti havihusu utaratibu unaohitajika ili rufaa ipokelewe na kuzingatiwa?
Kwani kilicholalamikiwa na TFF dhidi ya Congo ni swala lililotokea ndani ya uwanja?
Kwani TFF haikuwasilisha malalamiko yake CAF kwa maandishi?
Kwani TFF haikuwasilisha malalamiko yake CAF ndani ya muda uliowekwa kwenye vigezo na masharti ya CAF?
Kwani kulikuwa na pande mbili ndani ya CAF zilizotofautiana juu ya umri wa mchezaji aliyelalamikiwa?
Kwani viongozi wa TFF walikuwamo na kushiriki kwenye Kamati iliyoipa ushindi Serengeti Boys?
Kwani Congo walilalamikia maamuzi ya CAF kuipa ushindi Serengeti Boys?
Kwani maziwa na tui ni sawa?
 
Rungu la TFF latua Simba FC, yapokonywa Point 3 za Kagera Sugar
BY NA MWANDISHI WETU · APRIL 24, 2017

KAMATI ya Katiba Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imeipokonya Simba ushindi wa mezani waliopewa baada ya kufungwa na Kagera Sugar 2-1 Aprili 2, mwaka huu Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.
Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi Tanzania, maarufu kama Kamati ya Saa 72 iliipa Simba SC ushindi wa mabao matatu na pointi tatu baada ya kujiridhisha, beki Mohammed Fakhi aliichezea timu ya Kagera Sugar akiwa ana kadi tatu za njano. Mbali na kupokwa pointi tatu, awali Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, ilimfungia mwaka mmoja msemaji wa timu hiyo, Haji Manara na kumpiga faini ya Sh milioni 9.

chanzo: Rungu la TFF latua Simba FC, yapokonywa Point 3 za Kagera Sugar – Mitandaoni: Siasa, Michezo na Burudani
 
Iko hivi.

Kwa kawaida mchezaji aonekanapo na kosa ni lazima ukate rufaa. Kwenye utaratibu wa kukata rufaa kuna kanuni zake ambapo kuna muda maarumu umetengwa wa kupokea rufaa yeyote bila kuzingatia aina ya kosa lililopelekea rufaa!

Kama ukienda nje ya muda wa kuwasilisha rufaa na ukataka kulamiza rufaa yako isikilizwe kwakuwa wewe ni Simba SC au ni Yanga SC kunaondoa maana nzimaya kuwa na kanuni zinazoongoza rufaa.

swala la msingi ni rufaa kuwasilishwa nje ya muda!Hayo mengine ya kwamba hana au anayo kadi acha viongozwe na kanuni nyinginezo!

Kwakuwa hata kama alikuwa nayo kadi na wewe hukufuata sheria kwenye kuwasilisha rufaa yako unakuwa na uhalali gani wa rufaa yako kufanyiwa kazi..

Tuzingatie sheria wajameni!
Mkuu unsjisumbua tu kutoa ufafanuzi juu ya suala hili, hawawezi kukuelewa maana vichwa vyao vya panzi.
 
K

Kwani Serengeti boys inavyokwenda kutuwakilisha Afcon under 17 ilishinda uwanjani? Si tulifungwa bahati mbaya walimchezesha mchezaji asiyestahiki wakaondolewa mezani. Mwaka ule tuliqualify Afcon sijui ni under 17 au 21 lakini kwa kumchezesha Nurdin Bakari tulipokwa point mezani na hatukwenda. Suala siyo point za mezani, ni kama Farki alistahiki kucheza ama la.
Walifuata Sheria, taratibu Na kanuni wakati wa kukata rufaa yao CAF. Sasa Mikia FC, mnawakilisha rufaa yenu kibashite bashite, unafikiri ni Nani atawasikiliza.
 
Mpira wa bongo nkama lig ya mbuzi auna mvuto wowote ata c fatiriagi lig ya kiboya kama iii
Kama Simba angepewa point za mezani, comment yako ingekuwa kinyume cha msingi yako hapo juu. Tuache unazi wa kijinga, tunajitoa ufahamu kwa Jambo lililokuwa wazi? Nani hajui kuwa Simba alipigwa Na Kagera sugar 2-1, sasa unalialia nini, safi sana TFF kwa kusimamia Sheria Na kanuni za mpira wetu, tutawaongezea kipindi kingine cha uongozi ili muweze kuwanyoosha wapindisha Sheria kwenye soka.
 
Back
Top Bottom