Gumilapua JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 855 Reaction score 591 Apr 26, 2017 #181 mangatara said: Kama vip simba tundikeni daluga. Hawawezi kutunyang'anya haki yetu hiv hiv chaaa. Click to expand... Haki gani ndugu? Kagera si waliwafunga ndani ya dakika 90? Au walichezesha mchezaji asiekuwa wao? Au yule mchezaji asingecheza ndio simba wangeshinda? Tuache madai ya kipuuzi yanayoweza kurudisha nyuma soka letu!!
mangatara said: Kama vip simba tundikeni daluga. Hawawezi kutunyang'anya haki yetu hiv hiv chaaa. Click to expand... Haki gani ndugu? Kagera si waliwafunga ndani ya dakika 90? Au walichezesha mchezaji asiekuwa wao? Au yule mchezaji asingecheza ndio simba wangeshinda? Tuache madai ya kipuuzi yanayoweza kurudisha nyuma soka letu!!