demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Source ya taarifa yako ni wapi mkuu?
E FM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source ya taarifa yako ni wapi mkuu?
Sasa huo ndio upuuzi mchezaji alikuwa na makosa au hana??? Kwanini kamati zitofautianeeKagera Sugar wanaweza kuwa na kosa lakini je sheria ilizingatiwa kwa mlalamikaji alifuata sheria kuwasilisha rufaa yake?
Kama wangewasilisha kwenye muda ilo suala la kadi ya njano ndipo lingeanza kufanyiwa kazi.
[emoji36] [emoji36] [emoji36] watz tutakf n stress...kweny mpira mapichacha bongo movie matapishi mara vyeti feki mara Lipumba atuma watu wavamie....BREAKING NEWS: TFF imetengua maamuzi ya Bodi ya Ligi kuipa pointi 3 Simba dhidi ya Kagera Stars na hakuna kukata rufaa kwani kikao kile kilikuwa batili.
Mpira wa Tanzania: Uwanjani - Mezani - Kabatini - Chumbani - Sebleni.....
Soon utachezwa kitandaniMpira wa Tanzania: Uwanjani - Mezani - Kabatini - Chumbani - Sebleni.....
Kwani ni akina Malinzi walisababishs Simba ifungwe na Kagera 2-1?, ubingwa unapatikana unapatikana uwanjani na sio mezani.Kama malinzi na mwesiga hawajaondoka TFF, Mnyama kupata ubingwa mburaaaa
Sasa huo ndio upuuzi mchezaji alikuwa na makosa au hana??? Kwanini kamati zitofautianee
Andamana tuwapige mabomu.......Haiwezekani lazima tuandamane
Umesikia hukumu? Faki ni kweli ana kadi 3 za njano oooh Simba wamechelewa kupeleka lalamiko foolishKwani ni akina Malinzi walisababishs Simba ifungwe na Kagera 2-1?, ubingwa unapatikana unapatikana uwanjani na sio mezani.
Hata kama Simba waliwasilisha rufaa nje ya muda, je kuna uhalali wa Kagera Sugar kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano?Kagera Sugar wanaweza kuwa na kosa lakini je sheria ilizingatiwa kwa mlalamikaji alifuata sheria kuwasilisha rufaa yake?
Kama wangewasilisha kwenye muda ilo suala la kadi ya njano ndipo lingeanza kufanyiwa kazi.
Adhabu yake ni kupoka points?Hata kama Simba waliwasilisha rufaa nje ya muda, je kuna uhalali wa Kagera Sugar kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano?