Simba SC yapokwa pointi 3 dhidi ya Kagera Sukari

yanga imechukuaga mara mbili ubingwa kwa point hizo mbona haikua aibu..acheni unazi bas..ndio mana mnapewa pewa mnaishia kupigwa 4G
Mpira wa bongo nkama lig ya mbuzi auna mvuto wowote ata c fatiriagi lig ya kiboya kama iii
 
Swali la kujiuliza hivi ni kweli mchezaji alipewa kadi tatu? Je TFF wanachukua hatua gani ili kuhakikisha tukio kama hilo halitokei tena huko mbele? Je waliohusika na hilo tukio wanachukuliwa hatua gani?
 
Ww hujua Mpira fambaa, Mpira una sheria na kanunu zake
 
Mnatia huruma Simba. Ndo maana Simba kusawazisha dhidi ya Yanga na kuja kumfunga tena Yanga,pamekuwa na amani katika soka letu.
Yaani Yanga angeshinda,angelaumiwa Malinzi na,au Serikali, kwa akili za wanasimba zilivyo.
Wanashindwa kujua kuwa wamechagua viongozi wasanii tu.. We Aveva alivyo tu mtu wa mishe.. Na washkaji zake..
Au huyo Manara,ambaye hadi wazazi wake wamechezea Yanga,na kuipa Yanga umaarufu mkubwa,na ye mwenyewe pia kacheza cha ndimu chake Yanga tena kufikia hatua ya Yanga B..
Chezeni mpira,msilalame,hata mipira ya nje washabiki hawalalamiki kwa vijisababu vidogovidogo nje ya uwanja.

Huwezi kusema Yanga ilichukua makombe misimu miwili iliyopita kwa kubebwa.. Ilikuwa na udhamini mkubwa, wachezaji ghali wakinunuliwa na mishahara minono. (Chirwa-9.6M,wale wengine wa kigeni,wote ni 7.4M)
Si rahisi kushindana na timu kama hiyo.
 

Ni kweli mkuu, it's all about technicalities, tunachoshangaa na kucheka ni hawa ndugu zetu kupanga hadi kuandamana kwa kitu kama hicho as if walishinda ila wamenyang'anywa points. That's all.
 
TFF has made my day.
Wk nzima stress tu. Jion hii nachekacheka tu na kutabasamu kwa sana.
Halafu nikaamua kula ugali(dona) chakula cha matajiri kwa sasa. Roho nyeupeeeeee
Hahahaaaaa nami ndio nimekula chakula hicho mkuu,kumbe mimi ni tajiri pia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hujafurahi kunizidi,weekend inaisha murua kabisa [emoji39]
 
Tangu lini Simba wakapata haki chini ya Tifutifu.. Wakae kimya tu
Haki ipi na wao ni wahuni waliogushi documents.... Mechi ilichezwa uwanjani simba akachapwa 2-1 ...haki ipi ya kumnyang'anya aliyeshinda na kumpa aliyefungwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…