Kwani sheria zimewekwa ili zivunjwe au zifuatwe?Kama ulikua unashabikia kwa kuiba point za mtu mwingine tena mchana bora uache kushabikia
Unachosema sawa ila kamati imepitisha maamuzi ' eti simba hisikate rufaa tena kwa maamuzi haya'Maamuzi hayapitwi na muda mpaka pale ligi inapokuwa imeisha. Azam walinyang'anya point miezi mitatu baada ya kuwa wamecheza mechi kwenye ligi iliyopita kwa kosa hilohilo walipocheza na prisons tena bila prisons wenyewe kuwa na taarifa.
Iko hivi.
Kwa kawaida mchezaji aonekanapo na kosa ni lazima ukate rufaa. Kwenye utaratibu wa kukata rufaa kuna kanuni zake ambapo kuna muda maarumu umetengwa wa kupokea rufaa yeyote bila kuzingatia aina ya kosa lililopelekea rufaa!
Kama ukienda nje ya muda wa kuwasilisha rufaa na ukataka kulamiza rufaa yako isikilizwe kwakuwa wewe ni Simba SC au ni Yanga SC kunaondoa maana nzimaya kuwa na kanuni zinazoongoza rufaa.
swala la msingi ni rufaa kuwasilishwa nje ya muda!Hayo mengine ya kwamba hana au anayo kadi acha viongozwe na kanuni nyinginezo!
Kwakuwa hata kama alikuwa nayo kadi na wewe hukufuata sheria kwenye kuwasilisha rufaa yako unakuwa na uhalali gani wa rufaa yako kufanyiwa kazi..
Tuzingatie sheria wajameni!
Hebu niambie mmeonewa wapi?tupeni ushahidi hadharani,mkishindwa tunatoa adhabu nyingine kwa manara.Kwani sheria zimewekwa ili zivunjwe au zifuatwe?
Kwani sheria zimewekwa ili zivunjwe au zifuatwe?
Ukiongea hvyo utawapa kichwa hao kadi ya 3 ipi? wanadai Fakhi alipata kadi dk ya 70 cjui sabina ngapi cjui ilhali muda huo alishatoka baada ya kuumia!Kagera Sugar wanaweza kuwa na kosa lakini je sheria ilizingatiwa kwa mlalamikaji alifuata sheria kuwasilisha rufaa yake?
Kama wangewasilisha kwenye muda ilo suala la kadi ya njano ndipo lingeanza kufanyiwa kazi.
Yakupasa ukumbuke kuwa je msimu huo kanuni ya Muda wa kuwasilisha rufaa ilikuwa inafanya kazi? Kama hapana, basi ilistahili.Maamuzi hayapitwi na muda mpaka pale ligi inapokuwa imeisha. Azam walinyang'anya point miezi mitatu baada ya kuwa wamecheza mechi kwenye ligi iliyopita kwa kosa hilohilo walipocheza na prisons tena bila prisons wenyewe kuwa na taarifa.
Ukiongea hvyo utawapa kichwa hao kadi ya 3 ipi? wanadai Fakhi alipata kadi dk ya 70 cjui sabina ngapi cjui ilhali muda huo alishatoka baada ya kuumia!
Yakupasa ukumbuke kuwa je msimu huo kanuni ya Muda wa kuwasilisha rufaa ilikuwa inafanya kazi? Kama hapana, basi ilistahili.
Unajua kuna suala la msingi mno huwa wanalikwepa hawa mashabiki wa simba ..
Ukiwauliza kwanini hamkupeleka rufaa yenu ndani ya muda unao akiwa kikanuni? Hawakupi jibu sahihi...Ila watakuambia mbona Azam FC walipelekewa TFF rufaa na wadai wao baada ya mwezi msimu wa nyuma!
wanasahau kuwa kanuni za kuendesha ligi hubadilika na kila msimu huongezeka na nyingine kuondolewa!
Kwani vigezo na masharti havihusu utaratibu unaohitajika ili rufaa ipokelewe na kuzingatiwa?Serengeti boys walitolewa na wale waCongo lakini CAF wamewarudisha mashindanoni. Fair play kwenye soccer ni pamoja na kuzingatia vigezo na masharti.
Kaandamane ni basi kama hamkubaliani Na maamuzi hayo, hata hivyo kuuhalisia Simba alifungwa uwanjani.Kwa hiyo kumbe pamoja Na kagera kujua mchezaji ana kadi 3 bado kagera gains kosa
Mkuu unsjisumbua tu kutoa ufafanuzi juu ya suala hili, hawawezi kukuelewa maana vichwa vyao vya panzi.Iko hivi.
Kwa kawaida mchezaji aonekanapo na kosa ni lazima ukate rufaa. Kwenye utaratibu wa kukata rufaa kuna kanuni zake ambapo kuna muda maarumu umetengwa wa kupokea rufaa yeyote bila kuzingatia aina ya kosa lililopelekea rufaa!
Kama ukienda nje ya muda wa kuwasilisha rufaa na ukataka kulamiza rufaa yako isikilizwe kwakuwa wewe ni Simba SC au ni Yanga SC kunaondoa maana nzimaya kuwa na kanuni zinazoongoza rufaa.
swala la msingi ni rufaa kuwasilishwa nje ya muda!Hayo mengine ya kwamba hana au anayo kadi acha viongozwe na kanuni nyinginezo!
Kwakuwa hata kama alikuwa nayo kadi na wewe hukufuata sheria kwenye kuwasilisha rufaa yako unakuwa na uhalali gani wa rufaa yako kufanyiwa kazi..
Tuzingatie sheria wajameni!
Yanga haiwahusu mkuu, wale hongera Kagera Sugar maana walishinda uwanjanitumesikia !hongereni yanga kwa kila kitu
Walifuata Sheria, taratibu Na kanuni wakati wa kukata rufaa yao CAF. Sasa Mikia FC, mnawakilisha rufaa yenu kibashite bashite, unafikiri ni Nani atawasikiliza.K
Kwani Serengeti boys inavyokwenda kutuwakilisha Afcon under 17 ilishinda uwanjani? Si tulifungwa bahati mbaya walimchezesha mchezaji asiyestahiki wakaondolewa mezani. Mwaka ule tuliqualify Afcon sijui ni under 17 au 21 lakini kwa kumchezesha Nurdin Bakari tulipokwa point mezani na hatukwenda. Suala siyo point za mezani, ni kama Farki alistahiki kucheza ama la.
Kama Simba angepewa point za mezani, comment yako ingekuwa kinyume cha msingi yako hapo juu. Tuache unazi wa kijinga, tunajitoa ufahamu kwa Jambo lililokuwa wazi? Nani hajui kuwa Simba alipigwa Na Kagera sugar 2-1, sasa unalialia nini, safi sana TFF kwa kusimamia Sheria Na kanuni za mpira wetu, tutawaongezea kipindi kingine cha uongozi ili muweze kuwanyoosha wapindisha Sheria kwenye soka.Mpira wa bongo nkama lig ya mbuzi auna mvuto wowote ata c fatiriagi lig ya kiboya kama iii