Simba Sc yasajili "Play Station" Pape Ousmane

Simba Sc yasajili "Play Station" Pape Ousmane

View attachment 1892105

My Take
Al Ahl na waarabu wengine tengeni bajeti kabisa, Simba Sc kama Academy ya Afrika tutawapa na huyu mwakani
MO na Management yote ya Simba naona wanafanya biashara sasa!!...hawa vijana wawili wakimaliza msimu 21/22 huku tukiwa tumechukua makombe yetu kama kawaida bila kusahau club bingwa Africa tutapiga fedha ndefu sana
 
Anakuja kucheza namba ya Nani kwenye timu ya watu wanaojua uchawi zaidi kuliko wanavyojua mpira?
Bana Congo. Mu na tomboka tu ile mupira Simba inachezaga hamuna team africa naweza cheza. Ni kama sisi mutu ya congo tunavocheza bolingo ya solo au tshamukwale.... Sisi hapa Yanga tunataka anzisha band muzuri ya music ya kongo.
 
Onyango was Kenyan MVP. Na tuliowasajili msimu huu km sio MVP basi MVP runner up. Nimeipenda hii
Nguvu Moja
Ikabidi amkwatue mutu na mkono... teh teh!

1628965121816.png

Hapo juu garasa linashangaa kunguru taifa.
 
Back
Top Bottom