moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Malalamiko fcUto kama uto washaanza lawama View attachment 1892166
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malalamiko fcUto kama uto washaanza lawama View attachment 1892166
Ikawaje asa hadi dili halikukamilika?Naona Mo sasa ana malengo ya kupiga fedha ndefu za kuuza wachezaji hapo baadae, Huyu Dogo alikuwa akiwindwa na Leicester City.
Anakuja kucheza namba ya Nani kwenye timu ya watu wanaojua uchawi zaidi kuliko wanavyojua mpira?View attachment 1892105
My Take
Al Ahl na waarabu wengine tengeni bajeti kabisa, Simba Sc kama Academy ya Afrika tutawapa na huyu mwakani
Vp wale wachezaji waliolazimishwa kula mayai vizaAnakuja kucheza namba ya Nani kwenye timu ya watu wanaojua uchawi zaidi kuliko wanavyojua mpira?
Enzi za Zaire ya Mobutu?Vp wale wachezaji waliolazimishwa kula mayai viza
Aisee hongereni kwa kumpata mchezaji anaye assist hata akiwa benchiHuyo dogo balaa lake kubwa,, alishawahi kutoa assist wiki moja kabla ya mechi, yani mwaka huu watupe tu kombe letu mapemaaa
Sio tu akiwa benchi, alishawahi kuasisit wiki moja kabla ya mechiAisee hongereni kwa kumpata mchezaji anaye assist hata akiwa benchi
Kabsa simba itakua km BVB ama vipiView attachment 1892105
My Take
Al Ahl na waarabu wengine tengeni bajeti kabisa, Simba Sc kama Academy ya Afrika tutawapa na huyu mwakani
Awapih Zaire ya TshisekediEnzi za Zaire ya Mobutu?
MO na Management yote ya Simba naona wanafanya biashara sasa!!...hawa vijana wawili wakimaliza msimu 21/22 huku tukiwa tumechukua makombe yetu kama kawaida bila kusahau club bingwa Africa tutapiga fedha ndefu sanaView attachment 1892105
My Take
Al Ahl na waarabu wengine tengeni bajeti kabisa, Simba Sc kama Academy ya Afrika tutawapa na huyu mwakani
Bana Congo. Mu na tomboka tu ile mupira Simba inachezaga hamuna team africa naweza cheza. Ni kama sisi mutu ya congo tunavocheza bolingo ya solo au tshamukwale.... Sisi hapa Yanga tunataka anzisha band muzuri ya music ya kongo.Anakuja kucheza namba ya Nani kwenye timu ya watu wanaojua uchawi zaidi kuliko wanavyojua mpira?
Ikabidi amkwatue mutu na mkono... teh teh!Onyango was Kenyan MVP. Na tuliowasajili msimu huu km sio MVP basi MVP runner up. Nimeipenda hii
Nguvu Moja
Imagine mtu MVP Senegal,sasa Bongo itakuwajeOnyango was Kenyan MVP. Na tuliowasajili msimu huu km sio MVP basi MVP runner up. Nimeipenda hii
Nguvu Moja
wakawaida sanaNaona Mo sasa ana malengo ya kupiga fedha ndefu za kuuza wachezaji hapo baadae, Huyu Dogo alikuwa akiwindwa na Leicester City.