Simba SC yashika namba 105 kwa ubora Africa

Simba SC yashika namba 105 kwa ubora Africa

Mateso ni makubwa juu ya hizi nafasi za Ubora Afrika
 
Yaani Wikipedia hii ambayo hata Mwakalebela tu anaweza kuedit taarifa ndio umeifanya reference?
Embu edit hiyo taarifa hapo sasa hivi tuone kama rahis kubadilisha hizo ranking?
 
Yaani source ya taarifa yako ni wikipedia????

Aisee jifunze how wikipedia works utaacha kutumia kama source ya taarifa zako
Weka source unayoamini ww ni ya uhakika tucheki current standings
 
Kwa taarifa za CAF za mechi za mwisho zilizo chezwa December 5, Simba haipo ata katika timu 30 Bora Africa.
Civic United Front (CUF) bila shaka ndiyo website unayomaanisha.
 
Kwa taarifa za CAF za mechi za mwisho zilizo chezwa December 5, Simba haipo ata katika timu 30 Bora Africa.
Civic United Front (CUF) bila shaka ndiyo website unayomaanisha.
 
Kumchukia tajiri hakukufanyi we KUWA TAJIRI km yeye.Yanini kujitesa.

Tajiri/boss hanuniwi. Yanini kujitoa fahamu!
 
Embu edit hiyo taarifa hapo sasa hivi tuone kama rahis kubadilisha hizo ranking?

Screenshot_20211211-204006_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom