OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
basi atafutiwe jogoo ampande kupanua njiaHilo yai itakuwa limegoma kutoka, anazurura nalo mtaani linachungulia tu tunduni...
We nilivyokupiga nne kumbe ulikuwa kibondeNguvu MOYA Kapata Kibonde Chake Karibuni NBC .
Mbona hata hao utopolo tulishawahi kuwapiga 5 - 0! ma haikuwa ndondo!! This is Simba bwana!Mna cheza na timu gani iyo tena .mna uwakika sio ya ndondo cup
Unatia aibu, unashangilia kiasi icho kwa timu ya daraja la 3 tena unajua kabisa tumenunua mechi. Hivi kweli sisi Simba tumefikia stage iyo??Latanoooooooooooooooooooooooooooooo hukooooo
Hiyo nguvu moja mmeidhihirsha katika mechi 3 ambazo mmepata point 1simba nguvu moja
Ngoja nimuwahishie ujumbe..basi atafutiwe jogoo ampande kupanua njia
We nilivyokupiga mikwaju mitano ulikuwa upo daraja la ngapi?Unatia aibu, unashangilia kiasi icho kwa timu ya daraja la 3 tena unajua kabisa tumenunua mechi. Hivi kweli sisi Simba tumefikia stage iyo??
" Simba guvu moya"
Usijipendekeze sikujui..Mbona unanifatilia sana mwana Simba mwenzangu? Unaumizwa sana na mchango wangu kwa timu yangu ya Simba?
Hapo Umeongea kiuwanamichezo.. tofauti na hawa makolo wenzetu ambao hawalioni hili kuwa hii timu tunayocheza nayo sio level zet.Leo mpaka viwete wanashinda
Si umegoma kukimbia, endelea kukalia misumari..Unatia aibu, unashangilia kiasi icho kwa timu ya daraja la 3 tena unajua kabisa tumenunua mechi. Hivi kweli sisi Simba tumefikia stage iyo??
" Simba guvu moya"
Hivi mimi naww nani ameanza kum quote mwenzio? Si umeanza mwenyewe kujipendekeza kwangu, kaa mbali na acha kufatilia wanaume uta.....Usijipendekeze sikujui..
hivi alichangia mangapi kwenye mechi ya Kagera na Mtibwa?Mchango wa CHAMA ni mkubwa mno ktk magoli ...
hivi alichangia mangapi kwenye mechi ya Kagera na Mtibwa?
Mbona kila comment yangu unaifata? Unawashwa nini boya wewe? Au unanitafutia ban kwa lazimaSi umegoma kukimbia, endelea kukalia misumari..