SIMBA SC yashinda 6-0 dhidi ya Dar City FC | ASFC | Benjamini Mkapa Stadium

Wanasimba kwa maslahi ya umma, huyu Bocco astaafishwe. Kama hajajipanga basi watuambie kabla ya kuchangia Mo Arena, ni heri tuanze kumchangia kiinua mgongo chake maana anatitia hasira na hasara. Huyo Mugalu atajuana na akina Kabila na Tshisekedi
Afadhali na Bocco ni mchezajiwa ndani.
Kuliko huyo mkabaji wa mabeki.
Nafasi nne za wazi anafunga moja.
Pumbaf kabisa Muga
 
Halafu kuna watu wanamlaumu Pablo kutoka Madrid hana mbinu, asante Pablo kwa ushindi mnono.
 
Wamecheza na timu ya dondocup wanaachaje kushinda Sasa[emoji23]
 
Angalia Nafasi ya Mbao na Nafasi ya Dar City ndo utajua Dar City wako vizuri
 
Ingetokea mmecheza na mbao kwa ule mpira wa Jana mngekuwa mmelala yooo Tena si kwa kigoli kimojaa
unatafuta pakuchekea umekosa huyo dar city na mbao wote timu za ligi daraja la kwanza
acha kujiliza liza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…