Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Hakika Wacha Waongozane Na Wapate Matumaini.Wamekutana Pwagu na Pwaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Wacha Waongozane Na Wapate Matumaini.Wamekutana Pwagu na Pwaguzi
Acha kunichagulia timu wewe, nachojua sisi kama Simba tulipaswa kuonesha haya makali yetu kule sokoine, manungu na pale kaitaba stadium.. "Simba guvu moya"Unasahau tulikugunga 4 nusu Fainali
Nachokumbuka ni kuwa huyu mtu anayetetema hapa chini alitulaza mapema sana pale kwa mkapaSio wewe uliyekula goli 4 nusu fainal, kisha msimu uliofata tukakunywa moja fainali?
Yani mpaka unatamani icheze na timu Kama hizi daily.Nko bar huu mpira wa Simba jamani unanikosha
Nakunywa bia lakin siinuki kwenda washroom kuzikojoa.
Simba Ni ya kunifanya nibane mkojo kiasi hki?? Simba Raha
Nakuona nakuona nakuona mtalaamu wa kusaga kunguni!!Nguvu MOYA Kapata Kibonde Chake Karibuni NBC .
Yapaswa kushangilia maana mnachokipata leo mmekikosa kwenye ligi kuu. Leo kila mchezaji na benchi la ufundi watang'aa kwasababu wamekitana na timu inayoweza kuwamuduHvi huyu kocha Ni Pablo au Ni pepe?
Mbona Kama namuona steering ndan au Ni chama?
Au nimelewa ?
Mpaka hii game iishe utatoka jasho kila tundu la mwili wako..Tff watafute namna nzuri yakupanga ratiba, haiwezekani sisi Simba tupangwe na timu daraja la 3, halafu tuwachezeshe kwenye uwanja wenye taa wakati hawajawai kucheza uwanja wa taa maishani mwao.
Huyu mtetea atage yaishe. akiatamia mayai atatuliaTff watafute namna nzuri yakupanga ratiba, haiwezekani sisi Simba tupangwe na timu daraja la 3, halafu tuwachezeshe kwenye uwanja wenye taa wakati hawajawai kucheza uwanja wa taa maishani mwao.
Sio Simba wananunua tena?! kucheza usiku kuna shida gani kwani hawauoni mpira? utopolo ondoa shombo huku..Hivi timu ya daraja la tatu ina uzoefu gani wa kucheza usiku? Hii fair competition tunayoilalamikia humu kila siku iko wapi?
"Simba guvu moya"
Mbona unanifatilia sana mwana Simba mwenzangu? Unaumizwa sana na mchango wangu kwa timu yangu ya Simba?Mpaka hii game iishe utatoka jasho kila tundu la mwili wako..
Hilo yai itakuwa limegoma kutoka, anazurura nalo mtaani linachungulia tu tunduni...Huyu mtetea atage yaishe. akiatamia mayai atatulia