Simba Sc yasisitiza, RC alitumia mamlaka yake kuleta Uyanga. Yamsagia kunguni kwa Rais

Simba Sc yasisitiza, RC alitumia mamlaka yake kuleta Uyanga. Yamsagia kunguni kwa Rais

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally,amesisitiza msimamo wa klabu kuwa RC Mwanza alitumia mamlaka yake vibaya kuifanyia Simba mambo ya kihuni.

Amebainisha kuwa Simba imeshatoa taarifa kwa mamlaka za soka ili kuchukua hatua stahiki kwa wahusika wote.

My Take
Wanamichezo wote tukemee hii tabia ya kulewa madaraka kwa huyu RC. Tumsisitize Rais kuwaondoa watu kama hawa kwenye nafasi kwa sababu wanafifisha jitihada za kupeleka mbele mpira wa miguu
 
Wanamichezo wenye akili timamu hawawezi kukemea/kulaani taarifa isiyo na ushahidi. Imagine mpaka muda huu hatuajaambiwa Matola na mwenzake walipelekwa kituo gani cha polisi baada ya kukamatwa! Video clip iliyorushwa, haioneshi uwepo wa vurugu ndani/nje ya uwanja!! Sasa kama siyo uzushi ni nini!!

Labda mashabiki mbumbumbu pekee wenye mihemko na uwezo mdogo wa kufikiri na kuchanganua mambo; ndiyo watalaani na kukemea huo upuuzi.
 
Suala lenu nimeshalifikisha kwa Rais mkeka ujao tutamuondoa kwenye hiyo nafasi alafu tunamuandikia " Mh. Mtanda anasubiri kupangiwa nafasi nyingine"
 
Wanamichezo wenye akili timamu hawawezi kukemea/kulaani taarifa isiyo na ushahidi. Imagine mpaka muda huu hatuajaambiwa Matola na mwenzake walipelekwa kituo gani cha polisi baada ya kukamatwa! Video clip iliyorushwa, haioneshi uwepo wa vurugu ndani/nje ya uwanja!! Sasa kama siyo uzushi ni nini!!

Labda mashabiki mbumbumbu pekee wenye mihemko na uwezo mdogo wa kufikiri na kuchanganua mambo; ndiyo watalaani na kukemea huo upuuzi.
1000192201.jpg
 
Kauli yako hii inakufunga wewe na huyo mkuu wako wa mkoa. Kama hakukuwa na vurugu, polisi na huyo RC walienda kufanya nini?
RC inampangiaje sehemu ya kuwa na police wake
Kwani nyie mbumbumbu ndo mara ya kwanza kuona police wakiwa na silaha?
Kama huna uhalifu unaogopa police wa nini?
Yaani mpeleke nganda na ushirikina msiguswe na mamlaka?
 
Hapo vip!!

Kwa hizi tuhima zinazomkabili mkuu wa mkoa wa mwanza kwa serikali sikivu sio za kuvumilika,apaswa ichukue hatua dhidi yake.

Ni aibu kwa kiongozi anayemuwakilisha rais kufanya vitendo vya kihuni na vya kitoto kama zile anazotuhumiwa nazo na club ya Simba.

Ameikosea sana uongozi wa mama Samia wakati tunaelekea kwenye mbio za uchaguzi,tukumbuke club ya Simba inawashabiki wangi sana Tanzania,Afrika mashariki na kati,inawashabiki zaidi ya millioni 40 ndani ya nchi hii,na hizi ni takwimu za nyuma sana.

Juzi mtandao wa The Africa facts zone imetoa takwimu yakwamba Simba ni club namba tatu Afrika kwa kuwa na mashabiki wengi.

Tukumbuke hawa mashabiki ndio wananchi wapiga kura,na ushabiki wa mpira ni kama imani ya dini.

Hivyo unapoifanyia club ya Simba vutendo vya chuki na kibaguzi kumbuka uwafanyie wale wachezaji tu ila ni mamilioni ya wahabiki walionyuma a club yao
 
Back
Top Bottom