Simba Sc yasisitiza, RC alitumia mamlaka yake kuleta Uyanga. Yamsagia kunguni kwa Rais

Simba Sc yasisitiza, RC alitumia mamlaka yake kuleta Uyanga. Yamsagia kunguni kwa Rais

View attachment 3159115
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally,amesisitiza msimamo wa klabu kuwa RC Mwanza alitumia mamlaka yake vibaya kuifanyia Simba mambo ya kihuni.

Amebainisha kuwa Simba imeshatoa taarifa kwa mamlaka za soka ili kuchukua hatua stahiki kwa wahusika wote.

My Take
Wanamichezo wote tukemee hii tabia ya kulewa madaraka kwa huyu RC. Tumsisitize Rais kuwaondoa watu kama hawa kwenye nafasi kwa sababu wanafifisha jitihada za kupeleka mbele mpira wa miguu
Yule mkuu alikosa busara ya kiuongozi. Sisi kama mashabiki hatuwezi kutenganisha ukuu wake wa mkoa na ushabiki wa yanga au pamba. Hakukua na sababu ya yeye kufika pale full stop
 
Kw
Wanamichezo wenye akili timamu hawawezi kukemea/kulaani taarifa isiyo na ushahidi. Imagine mpaka muda huu hatuajaambiwa Matola na mwenzake walipelekwa kituo gani cha polisi baada ya kukamatwa! Video clip iliyorushwa, haioneshi uwepo wa vurugu ndani/nje ya uwanja!! Sasa kama siyo uzushi ni nini!!

Labda mashabiki mbumbumbu pekee wenye mihemko na uwezo mdogo wa kufikiri na kuchanganua mambo; ndiyo watalaani na kukemea huo upuuzi.
Kwakuwa wew ni mwanayanga,umefumba macho alienda kufanya nini uwanjani?
 
Utopolo hamwezi kuelewa ni somo gumu kwenu, Sunday Manara na Kikwete wanawaangalia tu
 
View attachment 3159115
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally,amesisitiza msimamo wa klabu kuwa RC Mwanza alitumia mamlaka yake vibaya kuifanyia Simba mambo ya kihuni.

Amebainisha kuwa Simba imeshatoa taarifa kwa mamlaka za soka ili kuchukua hatua stahiki kwa wahusika wote.

My Take
Wanamichezo wote tukemee hii tabia ya kulewa madaraka kwa huyu RC. Tumsisitize Rais kuwaondoa watu kama hawa kwenye nafasi kwa sababu wanafifisha jitihada za kupeleka mbele mpira wa miguu
Aaahh Mwasibu CPA feki OKW BOBAN SUNZU ovyo kabisa.
 
Haueleweki. Unaleta ushabiki mandazi katika mambo serious. Umetoka kusema hakukuwa na vurugu, tena unakuja kusema makomando wamevamia viongozi vyumbani.

Halafu ukiwa unamfungia mtu ili asitoke inakuwaje uvunje vioo na milango?
Fuatilia chanzo
Unakuja hapa unalia machozi wakati kilichotokea hujui
 
Mkuu wa Mkoa aliingilia mazoezi ya Simba na kuleta Polisi Uwanjani. Viongozi wa Pamba Jiji walivamia mazoezi na Kugoma kuondoka. Kimsingi hilo ni kosa kwani hawakupaswa kulazimisha kuhudhuria mazoezi hayo. Mkuu wa Mkoa, Said Mtanda amekiuka taratibu za mpira, kwa Unazi wakeView attachment 3159189
Uwanja wa CCM Kirumba umezungukwa na ofsi sizizopungua 50
Na office ya Pamba Jiji ipo hapo
Kama walikuwa wanatimiza majukumu Yao ulitaka waende wapi
 
IQ makes some one to be employed but EGO and Emotions makes some one fired.
 
Kw

Kwakuwa wew ni mwanayanga,umefumba macho alienda kufanya nini uwanjani?
Sasa si umsikie na mhusika mwenyewe, ili uifahamu sababu iliyompeleka uwanjani! Au wewe unamsikiliza Ahmed Ally peke yake?
 
Umri wako unakuruhusu. Ukikua utaacha.
1000192238.jpg
 
Back
Top Bottom