The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
View attachment 3159115
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally,amesisitiza msimamo wa klabu kuwa RC Mwanza alitumia mamlaka yake vibaya kuifanyia Simba mambo ya kihuni.
Amebainisha kuwa Simba imeshatoa taarifa kwa mamlaka za soka ili kuchukua hatua stahiki kwa wahusika wote.
My Take
Wanamichezo wote tukemee hii tabia ya kulewa madaraka kwa huyu RC. Tumsisitize Rais kuwaondoa watu kama hawa kwenye nafasi kwa sababu wanafifisha jitihada za kupeleka mbele mpira wa miguu
Safi sana,wengine watajifunza ,mbona Chalamila yupo Dar na hivi vilabu wala haangaiki nao.
Mtanda alitaka sifa zikamzidi.