The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
View attachment 3159115
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally,amesisitiza msimamo wa klabu kuwa RC Mwanza alitumia mamlaka yake vibaya kuifanyia Simba mambo ya kihuni.
Amebainisha kuwa Simba imeshatoa taarifa kwa mamlaka za soka ili kuchukua hatua stahiki kwa wahusika wote.
My Take
Wanamichezo wote tukemee hii tabia ya kulewa madaraka kwa huyu RC. Tumsisitize Rais kuwaondoa watu kama hawa kwenye nafasi kwa sababu wanafifisha jitihada za kupeleka mbele mpira wa miguu
Kama unawapenda sana hao polisi na silaha zao waite kwako mnywe chaiRC inampangiaje sehemu ya kuwa na police wake
Kwani nyie mbumbumbu ndo mara ya kwanza kuona police wakiwa na silaha?
Kama huna uhalifu unaogopa police wa nini?
Yaani mpeleke nganda na ushirikina msiguswe na mamlaka?
Waje nyumbani kwangu kufanyajeKama unawapenda sana hao polisi na silaha zao waite kwako mnywe chai
Haueleweki. Unaleta ushabiki mandazi katika mambo serious. Umetoka kusema hakukuwa na vurugu, tena unakuja kusema makomando wamevamia viongozi vyumbani.Waje nyumbani kwangu kufanyaje
Pale uwanjani walienda kuzuia makomando wa Simba walivamia viongozi wa Pamba Jiji vyumbani na kuvunja vioo na milango
Au ulitaka hao makomando wa Simba wauwe watu na police wasifike
😝😝😝😝😝 piga la kichwa al hilal 1 utopwinyo 0Atebaaaaaaaaaaa
Simba 1 Pamba(yanga b) 0
Chikolaaaaaaaaa
Tabora utd 3 Yanga 1
Silaaaaaaaaaaaa
Azam 1 Yanga 0.
Washikilie hapohapoView attachment 3159115
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally,amesisitiza msimamo wa klabu kuwa RC Mwanza alitumia mamlaka yake vibaya kuifanyia Simba mambo ya kihuni.
Amebainisha kuwa Simba imeshatoa taarifa kwa mamlaka za soka ili kuchukua hatua stahiki kwa wahusika wote.
My Take
Wanamichezo wote tukemee hii tabia ya kulewa madaraka kwa huyu RC. Tumsisitize Rais kuwaondoa watu kama hawa kwenye nafasi kwa sababu wanafifisha jitihada za kupeleka mbele mpira wa miguu
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Atebaaaaaaaaaaa
Simba 1 Pamba(yanga b) 0
Chikolaaaaaaaaa
Tabora utd 3 Yanga 1
Silaaaaaaaaaaaa
Azam 1 Yanga 0.
Mimi tabora utd lini umenifunga mara 4 mfululizo?Nimekufunga mara nne mfululizo
Sasa wewe si mchumba tu
Umri wako unakuruhusu. Ukikua utaacha.
Katafute kwanza chanzo halisi cha hilo tukio lililo sababisha polisi na huyo RC kufika hapo uwanjani, kabla kuuliza maswali yenye majibu ndani yake.Kauli yako hii inakufunga wewe na huyo mkuu wako wa mkoa. Kama hakukuwa na vurugu, polisi na huyo RC walienda kufanya nini?
Weee ni kiazi mbatata haswa.Wanamichezo wenye akili timamu hawawezi kukemea/kulaani taarifa isiyo na ushahidi. Imagine mpaka muda huu hatuajaambiwa Matola na mwenzake walipelekwa kituo gani cha polisi baada ya kukamatwa! Video clip iliyorushwa, haioneshi uwepo wa vurugu ndani/nje ya uwanja!! Sasa kama siyo uzushi ni nini!!
Labda mashabiki mbumbumbu pekee wenye mihemko na uwezo mdogo wa kufikiri na kuchanganua mambo; ndiyo watalaani na kukemea huo upuuzi.