Tetesi: Simba SC yatumia zaidi ya 1.8 Billioni kuweka kambi Dubai

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.

Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
 
Simba pale wamejaa viongozi waongo waongo tu.. Iyo ela nani katoa?Wameshindwa kununua bus hata la million 200, wameshindwa kumsajili mchezaji kipenzi chao manzoki Kwa million 300
Iyo bil 1.8 wataweza wapi yakhee[emoji1787][emoji1787]

Tunataka kujua bil 20 za uwekezaji ziko wapi?
 
Tajiri hapangiwi.
Tafuta pesa
Kweli tajiri apangiwi lakini kama mleta bandiko ana uhakika na taarifa alizoleta basi Kuna shida sehemu, Mwekezaji wa Simba hawezi kutoa Bilion 1.8 Kwa Siku 8 kama msaada, yaani Bure bila gharama yoyote!!
Ata Mimi siamini Kwa muda walio Kaa na fedha walizotumia haini ingii akilini labda sio Bilioni 1.8 ninayo ifahamu Mimi.
 
Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.

Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
Mauzo mazuri ya sembe. Bonasi kwa punda.
 
Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.

Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
Ulichangia hata senti moja? Msiwapangie watu matumizi ya pesa zao,ukuda wenu ndiyo maana mnamegewa wake zenu
 
Kweli tajiri apangiwi lakini kama mleta bandiko ana uhakika na taarifa alizoleta basi Kuna shida sehemu, Mwekezaji wa Simba hawezi kutoa Bilion 1.8 Kwa Siku 8 kama msaada, yaani Bure bila gharama yoyote!!
Ata Mimi siamini Kwa muda walio Kaa na fedha walizotumia haini ingii akilini labda sio Bilioni 1.8 ninayo ifahamu Mimi.
Nendeni mkashitaki CAS
 
Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.

Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
Kuingia makundi klabu bingwa Unajuwa wamelipwa pesa ngapi za maandalizi halafu ndio wanatumie 1.8 B?
 
Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.

Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
DATAZ SIMBA ni timu kubwa na yenye uelewa mkubwa wa kutosha kwenye mipango yao tofauti kabisa na hawa vilaza wa mitandaoni
 
Yani kweli NIJITOE TU KUSISHABIKIA HIZI TIMU.

1. Kwanza Budget Hiyo ni Uongo Haina uhalisia.

2. Bora Fedha ya kwenda Dubai wangesajili wachezaji wazuri, na kuivunja mikataba ya akina Okra, Banda, kanute.

3. Usajili wa Hawa wachezaji watatu wote Wana Changamoto. Umri na uwezo.

I. Saidoo ni Mchezaji mzuri sana ila TATIZO ni umri na nidhamu.

ii. Baleke ni Mchezaji aliyeachwa na Mazembe kwa Mkopo, yani ni Mchezaji wa kuunga unga tu Hana uhakika.
Ni mchezaji wa mkopo.

Wamemchukua Huyu Baada ya kuchemka kuwapata Adebayor, Manzoki.

Viongozi ni WABABAISHAJI sana

iii. Sawadogo. Kiungo anaefananishwa na Aucho, Mafisango. Hajacheza karibu Mwaka mzima.
Amekuja Baada ya KUSHINDWA kumpata kiungo wa TP Mazembe.

MO NI MUONGO SANA
 
Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.

Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
wenzetu wa Avic town je, imefika hata laki saba ? 😛 😛
 
Simba pale wamejaa viongozi waongo waongo tu.. Iyo ela nani katoa?Wameshindwa kununua bus hata la million 200, wameshindwa kumsajili mchezaji kipenzi chao manzoki Kwa million 300
Iyo bil 1.8 wataweza wapi yakhee[emoji1787][emoji1787]

Tunataka kujua bil 20 za uwekezaji ziko wapi?
Umasikini ni mbaya sna... Masikini ni zaidi ya ibilisi
 
Kweli tajiri apangiwi lakini kama mleta bandiko ana uhakika na taarifa alizoleta basi Kuna shida sehemu, Mwekezaji wa Simba hawezi kutoa Bilion 1.8 Kwa Siku 8 kama msaada, yaani Bure bila gharama yoyote!!
Ata Mimi siamini Kwa muda walio Kaa na fedha walizotumia haini ingii akilini labda sio Bilioni 1.8 ninayo ifahamu Mimi.
We chura bilin 1.8 unaijua shida yenu nyie wapapaswa uwemba mkishakunya mavi bila breki mnakuja kuandika pumba humu
 
wenzetu wa Avic town je, imefika hata laki saba ? 😛 😛
Waitolee wapi bosi wao yuko bize dubai na wapapaswa uwemba
Timu inakula mihogo na mapumba kambini
 
Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.

Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
Utopoloni buana. Unafikiri kule walienda kula mihogo ya jerojero kama ile ya Avic Town. Hata kama Simba ingetumia 100 Billion kwa siku moja, haikuhusu kwani hata isipotumia hizo fedha familia yako haitapata hata senti moja.
 
Back
Top Bottom