Yani kweli NIJITOE TU KUSISHABIKIA HIZI TIMU.
1. Kwanza Budget Hiyo ni Uongo Haina uhalisia.
2. Bora Fedha ya kwenda Dubai wangesajili wachezaji wazuri, na kuivunja mikataba ya akina Okra, Banda, kanute.
3. Usajili wa Hawa wachezaji watatu wote Wana Changamoto. Umri na uwezo.
I. Saidoo ni Mchezaji mzuri sana ila TATIZO ni umri na nidhamu.
ii. Baleke ni Mchezaji aliyeachwa na Mazembe kwa Mkopo, yani ni Mchezaji wa kuunga unga tu Hana uhakika.
Ni mchezaji wa mkopo.
Wamemchukua Huyu Baada ya kuchemka kuwapata Adebayor, Manzoki.
Viongozi ni WABABAISHAJI sana
iii. Sawadogo. Kiungo anaefananishwa na Aucho, Mafisango. Hajacheza karibu Mwaka mzima.
Amekuja Baada ya KUSHINDWA kumpata kiungo wa TP Mazembe.
MO NI MUONGO SANA