Kweli tajiri apangiwi lakini kama mleta bandiko ana uhakika na taarifa alizoleta basi Kuna shida sehemu, Mwekezaji wa Simba hawezi kutoa Bilion 1.8 Kwa Siku 8 kama msaada, yaani Bure bila gharama yoyote!!Tajiri hapangiwi.
Tafuta pesa
Mauzo mazuri ya sembe. Bonasi kwa punda.Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.
Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
Ulichangia hata senti moja? Msiwapangie watu matumizi ya pesa zao,ukuda wenu ndiyo maana mnamegewa wake zenuYaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.
Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
Nendeni mkashitaki CASKweli tajiri apangiwi lakini kama mleta bandiko ana uhakika na taarifa alizoleta basi Kuna shida sehemu, Mwekezaji wa Simba hawezi kutoa Bilion 1.8 Kwa Siku 8 kama msaada, yaani Bure bila gharama yoyote!!
Ata Mimi siamini Kwa muda walio Kaa na fedha walizotumia haini ingii akilini labda sio Bilioni 1.8 ninayo ifahamu Mimi.
Wewe ni chawa wa mo? Mbona umepanic sanaNendeni mkashitaki CAS
Kuingia makundi klabu bingwa Unajuwa wamelipwa pesa ngapi za maandalizi halafu ndio wanatumie 1.8 B?Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.
Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
DATAZ SIMBA ni timu kubwa na yenye uelewa mkubwa wa kutosha kwenye mipango yao tofauti kabisa na hawa vilaza wa mitandaoniYaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.
Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
wenzetu wa Avic town je, imefika hata laki saba ? π πYaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.
Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
Umasikini ni mbaya sna... Masikini ni zaidi ya ibilisiSimba pale wamejaa viongozi waongo waongo tu.. Iyo ela nani katoa?Wameshindwa kununua bus hata la million 200, wameshindwa kumsajili mchezaji kipenzi chao manzoki Kwa million 300
Iyo bil 1.8 wataweza wapi yakhee[emoji1787][emoji1787]
Tunataka kujua bil 20 za uwekezaji ziko wapi?
We chura bilin 1.8 unaijua shida yenu nyie wapapaswa uwemba mkishakunya mavi bila breki mnakuja kuandika pumba humuKweli tajiri apangiwi lakini kama mleta bandiko ana uhakika na taarifa alizoleta basi Kuna shida sehemu, Mwekezaji wa Simba hawezi kutoa Bilion 1.8 Kwa Siku 8 kama msaada, yaani Bure bila gharama yoyote!!
Ata Mimi siamini Kwa muda walio Kaa na fedha walizotumia haini ingii akilini labda sio Bilioni 1.8 ninayo ifahamu Mimi.
Waitolee wapi bosi wao yuko bize dubai na wapapaswa uwembawenzetu wa Avic town je, imefika hata laki saba ? π π
Sifa za kijinga.Waitolee wapi bosi wao yuko bize dubai na wapapaswa uwemba
Timu inakula mihogo na mapumba kambini
Utopoloni buana. Unafikiri kule walienda kula mihogo ya jerojero kama ile ya Avic Town. Hata kama Simba ingetumia 100 Billion kwa siku moja, haikuhusu kwani hata isipotumia hizo fedha familia yako haitapata hata senti moja.Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.
Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
Tafuta zako kma ni rahisi