Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
kama ni kweli ,basi huo ni mchezo wa mahesabu,ionekane klabu imefanya matumizi hayo, watasema hayo ktk kutoa ripoti ya fedha ktk mkutano mkuu wa uchaguziKweli tajiri apangiwi lakini kama mleta bandiko ana uhakika na taarifa alizoleta basi Kuna shida sehemu, Mwekezaji wa Simba hawezi kutoa Bilion 1.8 Kwa Siku 8 kama msaada, yaani Bure bila gharama yoyote!!
Ata Mimi siamini Kwa muda walio Kaa na fedha walizotumia haini ingii akilini labda sio Bilioni 1.8 ninayo ifahamu Mimi.
Hapangiwi,asidanganye ,akidanganya Kama utamaduni wake lazima watu wahoji.Ulichangia hata senti moja? Msiwapangie watu matumizi ya pesa zao,ukuda wenu ndiyo maana mnamegewa wake zenu
Siku mkijua tofauti ya utajiri wa Mo na Simba.DATAZ SIMBA ni timu kubwa na yenye uelewa mkubwa wa kutosha kwenye mipango yao tofauti kabisa na hawa vilaza wa mitandaoni
Ukiona mtu analalamikia matumizi ya mwen,ake, akiona ni ufujaji na kwamba yeye angetumia vizuri zaidi kufanya mipango ujue huyo mtu ni maskini kweli kweli.Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.
Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
Wewe ni demu wa GhalibWewe ni chawa wa mo? Mbona umepanic sana
Wewe hela inakuuma umechangia kiasi gani?Yani kweli NIJITOE TU KUSISHABIKIA HIZI TIMU.
1. Kwanza Budget Hiyo ni Uongo Haina uhalisia.
2. Bora Fedha ya kwenda Dubai wangesajili wachezaji wazuri, na kuivunja mikataba ya akina Okra, Banda, kanute.
3. Usajili wa Hawa wachezaji watatu wote Wana Changamoto. Umri na uwezo.
I. Saidoo ni Mchezaji mzuri sana ila TATIZO ni umri na nidhamu.
ii. Baleke ni Mchezaji aliyeachwa na Mazembe kwa Mkopo, yani ni Mchezaji wa kuunga unga tu Hana uhakika.
Ni mchezaji wa mkopo.
Wamemchukua Huyu Baada ya kuchemka kuwapata Adebayor, Manzoki.
Viongozi ni WABABAISHAJI sana
iii. Sawadogo. Kiungo anaefananishwa na Aucho, Mafisango. Hajacheza karibu Mwaka mzima.
Amekuja Baada ya KUSHINDWA kumpata kiungo wa TP Mazembe.
MO NI MUONGO SANA
Utahoji kwani hela aliyotumia umechangia kiasi gani? Fanyeni kazi mpate fedha siyo kutolea udenda hela za watu wengineHapangiwi,asidanganye ,akidanganya Kama utamaduni wake lazima watu wahoji.
Wenye hela nyny mmemleta bobosi na miquisonSimba pale wamejaa viongozi waongo waongo tu.. Iyo ela nani katoa?Wameshindwa kununua bus hata la million 200, wameshindwa kumsajili mchezaji kipenzi chao manzoki Kwa million 300
Iyo bil 1.8 wataweza wapi yakhee[emoji1787][emoji1787]
Tunataka kujua bil 20 za uwekezaji ziko wapi?
kama ni kweli ,basi huo ni mchezo wa mahesabu,ionekane klabu imefanya matumizi hayo, watasema hayo ktk kutoa ripoti ya fedha ktk mkutano mkuu wa uchaguziKweli tajiri apangiwi lakini kama mleta bandiko ana uhakika na taarifa alizoleta basi Kuna shida sehemu, Mwekezaji wa Simba hawezi kutoa Bilion 1.8 Kwa Siku 8 kama msaada, yaani Bure bila gharama yoyote!!
Ata Mimi siamini Kwa muda walio Kaa na fedha walizotumia haini ingii akilini labda sio Bilioni 1.8 ninayo ifahamu Mimi.
Click to expand...
Hapangiwi,asidanganye ,akidanganya Kama utamaduni wake lazima watu wahoji.Ulichangia hata senti moja? Msiwapangie watu matumizi ya pesa zao,ukuda wenu ndiyo maana mnamegewa wake zenu
#pics Siku mkijua tofauti ya utajiri wa Mo na Simba.@DATAZ SIMBA ni timu kubwa na yenye uelewa mkubwa wa kutosha kwenye mipango yao tofauti kabisa na hawa vilaza wa mitandaoni