gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Pole kwa maumivu kunywa panadol na maji mengi. Simba ni balaaHamnazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa maumivu kunywa panadol na maji mengi. Simba ni balaaHamnazo
Kwenye uzi wa watu wasio na akili unatafuta nini au na we ndo mmoja wapo wa wasio na akili?Watanzania kitu tulinyimwaga kwa wengi ni akili
Upo sahihi mkuu na ninakuunga mkono na ninaunga mkono hoja ni kama manara alivyowahi kusema yanga wenye akili wawili tu baba ake na kikwete tu wengine wote mliobakia ni "ZERO MINUS SIFURI IS EQUAL TO OH"Rage alikuwa sahihi kuwaiteni lile jina lenu pendwa
Una Haki ya kuongea yote maana Kila tukikutana nimekupiga umenipa mara 4Upo sahihi mkuu na ninakuunga mkono na ninaunga mkono hoja ni kama manara alivyowahi kusema yanga wenye akili wawili tu baba ake na kikwete tu wengine wote mliobakia ni "ZERO MINUS SIFURI IS EQUAL TO OH"
Samahani mkuu utakuwa umepotea njia mimi ni "CHIKOLA WA TABORA UNITED" uliyenipa juzi kati hapa nikapiga vitatu vya chapu ni juzi tu hapa umeshasahau?Una Haki ya kuongea yote maana umenipa mara 4 View attachment 3156759
Natafuta kuwaambia kama hawana akiliKwenye uzi wa watu wasio na akili unatafuta nini au na we ndo mmoja wapo wa wasio na akili?
Hapa sikujibu Tena ila jiandae kunipa mara 5 tukikutana masta 😀Samahani mkuu utakuwa umepotea njia mimi ni "CHIKOLA WA TABORA UNITED" uliyenipa juzi kati hapa nikapiga vitatu vya chapu ni juzi tu hapa umeshasahau?
Hongereni maana ayo ndio Makombe ya u mbumbumbuniYanga hawawezi kuifikia hii rekodi hata wafanyaje ni simba tu afrika nzima ndio imeweza. Huku manula huku camara,haaahaaah
Aziz Ki alikuwa jukwaani kwa Mkapa, tena akakata tiketi ya mzunguko, wahuni wakamchukulia simu yake4) Aziz ki yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Burkina Faso imefuzu AFCON
Nimeandika kuwa Aziz Ki kashiriki kufuzu AFCON. Sasa unakataa kuwa hakushiriki? Unajua kabla ya mechi ya juzi, Burkina Faso ilikuwa imeshafuzu kucheza michuano ya AFCON na Aziz Ki aliitwa kwenye mechi zote za nyuma na zingine kacheza. Uwe unaelewa maana ya neno kushirikiAziz Ki alikuwa jukwaani kwa Mkapa, tena akakata tiketi ya mzunguko, wahuni wakamchukulia simu yake
Sio mihogo kama alivyosema muhandisi?Hapo ni baada ya kushiba uji wa magimbi
Kwa hizi akili zetu nakuhakikishia haiwezekani kamweSijui lini tutaacha kuiangalia timu ya taifa kwa jicho la uyanga na usimba.
HapanaSio mihogo kama alivyosema muhandisi?
Ni shida sana aisee hadi inakera.Kwa hizi akili zetu nakuhakikishia haiwezekani kamwe
So what?Mechi ya jana kati ya Tanzania na Guinea ilikuwa na magolikipa wa simba wote malangoni na kuweka historia duniani.
Simba inakua klabu ya kwanza Tanzania makipa wake kukutana kwenye mechi moja wakiwa timu tofauti za taifa kama makipa namba moja.
Rekodi hii Yanga wanaitamani sana ila ndio ivo haiwezekani, sio rahisi hii ni rekodi mpya jijini.
View attachment 3156698