bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,880
- 24,933
Manara anapenda kudharirisha wenzake lkn yeye akiguswa tu kidogo ana chukia na mbaya zaidi mambo yake binafsi hua anataka yawe ya wote , huo ujinga wao na Muro anataka kuufanya uwahusu wengine . Sijui kwann TFF isizue clubs kuwa na hawa wahamasishaji kuwe na ma afisa habari tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app