Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,398
Mimi namuelewa Manara, sasa hivi ni kipindi cha joto kali sana Dar, anawashwa washa sana to the extent kichwa kina-boil, msamehe bure
Mwoshaa huoshwaa atuliee sindanoo imuingiee allahMuro kakosea,
Huwezi leta dharau dhidi ya walimu wa madrasa.
Unahusiana vipi na kazi ya manara simba na michezo.
Sio mbaya kwa walimu wa madrasa ni wasiosoma elimu dunia zaidi ya kukariri quruan kama ameona manara ansifa hizo,sawa.
Ila yote iwavyo,utani kuhusiana na mambo ya imani za watu hasa dini haukubaliki mahali popote pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
... kakimbilia kichaka cha dini kutafuta ufuasi!Kimsingi Muro aliongea kiutani tu kama inavyoeleweka tambo za simba na yanga ila Hajji kayakuza mambo sana yani
... Manara mwalimu wa madressa Mkuu! Msomi yule.Tunasema ukikosa elimu umelosa mengi
Tofautisha kupata elimu na kuelimika... Manara mwalimu wa madressa Mkuu! Msomi yule.
Na huyo Jenny Muro nae mwambie achague maneno ya kuongea, sio kuropoka hovyo tu kila wakati, alishawahi mkashifu Manara, vyema arudi kwenye ukuu wake wa wilaya aache kuhangaika na visivyomuhusu, kama anataka kuwa msemaji wa Yanga aache ukuu wa wilaya aombe kazi Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndiyo ukweli. Na siku zote Muro hushinda vita kati yao.
Ataniitia pressAkikusikia
Hiki ndio na mimi kinanishangaza mno.Kabisa utani WA watu wawili Haji anataka uwe uhasama WA nchi nzima. Hii haikubaliki hata kidogo
Tatizo anajifanyaga hamna wa kumshinda. Yaani anataka atoe kauli chafu yeye tu na wale followers wake wakimsapoti basi anajisikia raha kabisa.Kimsingi Muro aliongea kiutani tu kama inavyoeleweka tambo za simba na yanga ila Hajji kayakuza mambo sana yani
Nimelipokea Dongo kwa niaba ya Timu ya Wananchi Mtani. Teh teh.Ndala wote wamehamishia chuki zao kwa Haji Manara badala ya kushughulika na matatizo yao hapo dimbwini.
Sent using Jamii Forums mobile app