fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,543
Hawa jamaa wana juwana pengine walipanga kabisa maneno watakayo ongea yakuleta tafran! Pengine sasa hivi wana cheka Sana malengo yametimia!Manara anapenda sana kuwahusisha wenzake na tuhuma za ushoga kuna kipindi alimuandama Nugaz na vijembe vya ushoga pia jana karudia kwa Muro kwamba hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba zote hizo mara sio rijali ingekua kasemwa yeye hivyo yangekua mengi
Sent using Jamii Forums mobile app