Kabisa utani WA watu wawili Haji anataka uwe uhasama WA nchi nzima. Hii haikubaliki hata kidogoManara anapenda kudharirisha wenzake lkn yeye akiguswa tu kidogo ana chukia na mbaya zaidi mambo yake binafsi hua anataka yawe ya wote , huo ujinga wao na Muro anataka kuufanya uwahusu wengine . Sijui kwann TFF isizue clubs kuwa na hawa wahamasishaji kuwe na ma afisa habari tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Manara ni pumbaff tuHii dhambi uliyotenda Kwa kumdhalilisha mwenzio itakutafuna Tu ipo siku,hivi umeshindwa kutumia lugha ya staha zaidi ya hii?? Kumbuka hujafa hujaumbika nduguuu
Wote ni wapuuzi tu, alafu woteni ni wanaccmKabisa utani WA watu wawili Haji anataka uwe uhasama WA nchi nzima. Hii haikubaliki hata kidogo
Umefika mbali Sana mkuuUalbino unamsumbua Manara amekuwa na inferiority sana!!
Namuonaga ni kijana mpumbavu sana asiye na akili kichwani.
Wengi wa dini yake wapo hivyo ni mpumbavu na anapaswa kupuuzwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hafai kuwa mwanasiasa Kwa sababu akichekechwa kidogo atakimbilia kutafuta sympathy kwenye udini Jambo ambalo NI hatari sanaWatu aina ya Manara wanafaa sana kwenye Siasa kutokana na uwezo wao wa ushawishi, kuongea, kusimamia hoja au hata kuigeuza ili hadhira iwe upande wao na hata kuyamudu vema majigambo.
Huku katika Soka anakwenda vema ila kuna vipengele havifai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye siasa hafai kwa baadhi ya mihemko yake.Watu aina ya Manara wanafaa sana kwenye Siasa kutokana na uwezo wao wa ushawishi, kuongea, kusimamia hoja au hata kuigeuza ili hadhira iwe upande wao na hata kuyamudu vema majigambo.
Huku katika Soka anakwenda vema ila kuna vipengele havifai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakosea mnoHuyu jamaa ni mtu maarufu, ana wafuasi wa dini zote kuanzia kwenye clabu anayoipigia debe hadi kwenye mitandao ya kijamii. Tunatambua binadamu ni duo being tunakuwa na sura tofauti kulingana na majukumu na wakati tunapoyafanya. Tunatambua pia kwenye dini amepewa kawadhifa cha uenezi @ ulinganiaji lakini mara nyingi anajisahau anapobwanwa kwenye mambo ya kidunia yanayompa riziki anageukia upande wa dini kama deffence
Tunasema ukikosa elimu umelosa mengiKimsingi Muro aliongea kiutani tu kama inavyoeleweka tambo za simba na yanga ila Hajji kayakuza mambo sana yani