technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Cry more dear uto[emoji4]Nakuelewa mkuu,nje ya kwa Mkapa naona jinsi tutakavyoendelea kupata ugumu.mimi binafsi sioni Simba ikitoboa msimu huu bado changamoto za msimu uliokwisha zipo.
tumesajili wachezaji wengi wanaofanana.
Simba shida ipo eneo la kati mkuu, huwa limakuwa huru sana kwa mpinzani wake kulitumia hata leo kagera hawakuwa makini tu eneo la kati halikuwa tulivu na wao kagera naona walitaka wapitie ktk flanksMkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.
Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa
Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!!
Hamna namba 2 , na hamna namba sita Pamoja na namba 9.
Msimu ulioisha nilisema mapungufu yenu hapa nikaishiwa kutukanwa.
Viwanja vya mikoani mtapasuka Sana kule mbeya,Singida, Arusha na Mwanza.
Lazima mtibu swala la msingi msifunike jipu Simba ni mbovu bado matatzo ya mwaka jana ndio hayojayo mwaka huu.
Msimu huu viwanja vinavyochezewa kidogo vina standard bodi ya ligi wapo makini mbeya vyote vimefungiwaMkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.
Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa
Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!!
Hamna namba 2 , na hamna namba sita Pamoja na namba 9.
Msimu ulioisha nilisema mapungufu yenu hapa nikaishiwa kutukanwa.
Viwanja vya mikoani mtapasuka Sana kule mbeya,Singida, Arusha na Mwanza.
Lazima mtibu swala la msingi msifunike jipu Simba ni mbovu bado matatzo ya mwaka jana ndio hayojayo mwaka huu.
Hongera kolo kwa kuongoza ligi. But magoli yote ni kwa uzembe wa defense lain ya kagera. Na pia wangeweza kuwatangulia endapo wangekua makini.
All in all mpira mchezo wa makosa but kiungo bado sana, na watara na enock sio combo nzuri. Striker bado sana.
Sven kuna mechi alimchezesha namba 7 na alicheza vizuri maana alitoa asist na kufunga kwenye mechi ya Caf champions leagueNi muda wa Kapombe kutaftiwa namba nyingine. Zamani alikua anamudu kucheza kiungo sijui kwa sasa.
Ahsanteeee tena umemsuuuza haswaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajikuta una uchungu kuliko wanaSimba... Angalia nyongo isikutoke...
Tukianza kulia, wewe shika kopo la maji mbele tembea hadi chooni kateremshe kimba...
Lia taratibu shougaaa angu, kelele za nn? Vipi Domolepe hakufurahishi??? PoleeeeeehSare zikianza utawasikia watakavyo piga kelele za kuwakataa makocha na baadhi ya wachezaji wao.
Mbona mtu mzima ovyo wewe unaumia nini watu kushangilia ushindi wa timu yao? Ulitaka walie? Kama umeumia saana kunywa sumu ufe. Wacha ushamba na uchawi bro.Mkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.
Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa
Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!!
Hamna namba 2 , na hamna namba sita Pamoja na namba 9.
Msimu ulioisha nilisema mapungufu yenu hapa nikaishiwa kutukanwa.
Viwanja vya mikoani mtapasuka Sana kule mbeya,Singida, Arusha na Mwanza.
Lazima mtibu swala la msingi msifunike jipu Simba ni mbovu bado matatzo ya mwaka jana ndio hayojayo mwaka huu.
Mnaumia sana Simba kushangilia ushindi wao,huu ndiyo uchawi wenyewe. Kunyweni sumu mfe kabisa kama mnaumia kiasi hicho. Eti mtu na kende zake anaanzisha uzi kabisa kulalamikia watu kushangilia ushindi wao.Sare zikianza utawasikia watakavyo piga kelele za kuwakataa makocha na baadhi ya wachezaji wao.