Simba shida zimeisha?

Simba shida zimeisha?

Mkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.

Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa

Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!!

Hamna namba 2 , na hamna namba sita Pamoja na namba 9.

Msimu ulioisha nilisema mapungufu yenu hapa nikaishiwa kutukanwa.

Viwanja vya mikoani mtapasuka Sana kule mbeya,Singida, Arusha na Mwanza.

Lazima mtibu swala la msingi msifunike jipu Simba ni mbovu bado matatzo ya mwaka jana ndio hayojayo mwaka huu.
Kikubwa magoli.. Na leo tumeshinda tusipowapongeza wachezaji wetu na kushangilia ushindi basi tutakuwa zaidi ya wendawazimu.. We are living our moments[emoji322]
 
Kwa kweli tukiwekaushabiki pembeni jamaa wana shida..
Katikati na central foward hakuna kitu
Hawa madogo wangepunguza kitete walikua watoke na ushindi au draw..
Kiufupi ile simba ya akina miquossone,Morisson,chama,kagere...sio hii kabisa.yaani mbaaali

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sasa si ndiyo furaha kwenu mayowe ya nini sasa?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.

Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa

Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!!

Hamna namba 2 , na hamna namba sita Pamoja na namba 9.

Msimu ulioisha nilisema mapungufu yenu hapa nikaishiwa kutukanwa.

Viwanja vya mikoani mtapasuka Sana kule mbeya,Singida, Arusha na Mwanza.

Lazima mtibu swala la msingi msifunike jipu Simba ni mbovu bado matatzo ya mwaka jana ndio hayojayo mwaka huu.
Namba Sita wa Yanga ni nan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pongezi kwa simba kwa kutopoteza wala kuruhusu nyavu zao kutikiswa. Lakini wanasimba hatupaswi kujiipa matumaini sana kuwa hata kwa mechi za ugenini timu yetu itaendelea kutembeza bakora, hapana. Hawa watu wanaoona kuwa simba bado haijatulia ingawa inapata matokeo sidhani kama wana nia mbaya bali naona lengo lao ni kulistua benchi la ufundi, uongozi na wachezaji waone kama hayo madhaifu yapo wayafanyie kazi. Kwa maneno mengine wasibweteke kwa kuamini kuwa timu iko imara enough kumbe kikubwa kinachoibeba timu ni uzoefu na uwezo binafsi wa wachezaji na udhaifu wa timu pinzani. Ki mbinu bado jamani. Ubora na uzoefu wa wachezaji na maandalizi yenye afya then ushindi wa taabu saana tena nyumbani, ugenini itakuwaje!? Lazima kuna mahala panavuja wapendwa.
Tuacheni kuwaridhisha vijana kuwa wameiva ilhali wanatuweka roho juu wawapo mchezoni, badala yake tuwapongeze wanapopata ushindi ila pia tuwaeleze kuwa bado hatujaridhika.
 
Cry more dear uto[emoji4]
@Nyamizi nitake radhi mimi sio Uto a.k.a kimba f.c mimi ni Simba. ifike wakati tujadili vitu bila ushabiki.
msimu uliokwisha tumeona jinsi Simba ilivyopata tabu eneo la kiungo mkabaji baada ya Lwanga kuumia na namba tisa wa asili mfungaji wa uhakika.
 
Hongera kolo kwa kuongoza ligi. But magoli yote ni kwa uzembe wa defense lain ya kagera. Na pia wangeweza kuwatangulia endapo wangekua makini.

All in all mpira mchezo wa makosa but kiungo bado sana, na watara na enock sio combo nzuri. Striker bado sana.
Wacha MBUMBUMBU wafarijiane
 
Dejan ama Phiri wanatosha kbs kwa center forward.

Labda hili la kuongeza kiungo mkabaji.
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_20220821-134706.png
    Screenshot_20220821-134706.png
    63.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220821-134437.png
    Screenshot_20220821-134437.png
    54.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220821-134424.png
    Screenshot_20220821-134424.png
    24.7 KB · Views: 4
Mkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.

Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa

Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!!

Hamna namba 2 , na hamna namba sita Pamoja na namba 9.

Msimu ulioisha nilisema mapungufu yenu hapa nikaishiwa kutukanwa.

Viwanja vya mikoani mtapasuka Sana kule mbeya,Singida, Arusha na Mwanza.

Lazima mtibu swala la msingi msifunike jipu Simba ni mbovu bado matatzo ya mwaka jana ndio hayojayo mwaka huu.
Kenge mpaka atokwe na damu masikioni
 
Nyie mihogo fc endeleeni na ligi yenu ya mchangani si tunajua target yetu ni wapi
 
Back
Top Bottom