Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kikubwa magoli.. Na leo tumeshinda tusipowapongeza wachezaji wetu na kushangilia ushindi basi tutakuwa zaidi ya wendawazimu.. We are living our moments[emoji322]Mkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.
Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa
Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!!
Hamna namba 2 , na hamna namba sita Pamoja na namba 9.
Msimu ulioisha nilisema mapungufu yenu hapa nikaishiwa kutukanwa.
Viwanja vya mikoani mtapasuka Sana kule mbeya,Singida, Arusha na Mwanza.
Lazima mtibu swala la msingi msifunike jipu Simba ni mbovu bado matatzo ya mwaka jana ndio hayojayo mwaka huu.