Simba shida zimeisha?

Simba shida zimeisha?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Mkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.

Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa

Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!!

Hamna namba 2 , na hamna namba sita Pamoja na namba 9.

Msimu ulioisha nilisema mapungufu yenu hapa nikaishiwa kutukanwa.

Viwanja vya mikoani mtapasuka Sana kule mbeya,Singida, Arusha na Mwanza.

Lazima mtibu swala la msingi msifunike jipu Simba ni mbovu bado matatzo ya mwaka jana ndio hayojayo mwaka huu.
 
Simba shida ipo eneo la kati mkuu, huwa limakuwa huru sana kwa mpinzani wake kulitumia hata leo kagera hawakuwa makini tu eneo la kati halikuwa tulivu na wao kagera naona walitaka wapitie ktk flanks
 
Hongera kolo kwa kuongoza ligi. But magoli yote ni kwa uzembe wa defense lain ya kagera. Na pia wangeweza kuwatangulia endapo wangekua makini.

All in all mpira mchezo wa makosa but kiungo bado sana, na watara na enock sio combo nzuri. Striker bado sana.
 
Mkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.

Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa

Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!!

Hamna namba 2 , na hamna namba sita Pamoja na namba 9.

Msimu ulioisha nilisema mapungufu yenu hapa nikaishiwa kutukanwa.

Viwanja vya mikoani mtapasuka Sana kule mbeya,Singida, Arusha na Mwanza.

Lazima mtibu swala la msingi msifunike jipu Simba ni mbovu bado matatzo ya mwaka jana ndio hayojayo mwaka huu.
Msimu huu viwanja vinavyochezewa kidogo vina standard bodi ya ligi wapo makini mbeya vyote vimefungiwa

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Haya mawazo tutaweka kwenye jezi zenu mpya
Hongera kolo kwa kuongoza ligi. But magoli yote ni kwa uzembe wa defense lain ya kagera. Na pia wangeweza kuwatangulia endapo wangekua makini.

All in all mpira mchezo wa makosa but kiungo bado sana, na watara na enock sio combo nzuri. Striker bado sana.
 
Kwa kweli tukiwekaushabiki pembeni jamaa wana shida..
Katikati na central foward hakuna kitu
Hawa madogo wangepunguza kitete walikua watoke na ushindi au draw..
Kiufupi ile simba ya akina miquossone,Morisson,chama,kagere...sio hii kabisa.yaani mbaaali

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Unajikuta una uchungu kuliko wanaSimba... Angalia nyongo isikutoke...

Tukianza kulia, wewe shika kopo la maji mbele tembea hadi chooni kateremshe kimba...
Ahsanteeee tena umemsuuuza haswaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.

Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa

Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!!

Hamna namba 2 , na hamna namba sita Pamoja na namba 9.

Msimu ulioisha nilisema mapungufu yenu hapa nikaishiwa kutukanwa.

Viwanja vya mikoani mtapasuka Sana kule mbeya,Singida, Arusha na Mwanza.

Lazima mtibu swala la msingi msifunike jipu Simba ni mbovu bado matatzo ya mwaka jana ndio hayojayo mwaka huu.
Mbona mtu mzima ovyo wewe unaumia nini watu kushangilia ushindi wa timu yao? Ulitaka walie? Kama umeumia saana kunywa sumu ufe. Wacha ushamba na uchawi bro.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sare zikianza utawasikia watakavyo piga kelele za kuwakataa makocha na baadhi ya wachezaji wao.
Mnaumia sana Simba kushangilia ushindi wao,huu ndiyo uchawi wenyewe. Kunyweni sumu mfe kabisa kama mnaumia kiasi hicho. Eti mtu na kende zake anaanzisha uzi kabisa kulalamikia watu kushangilia ushindi wao.

Back
Top Bottom