Simba si mlisema nyie wazalendo ndio maana hua mnaweka "Visit Tanzania". Kipo wapi sasa hivi?

Simba si mlisema nyie wazalendo ndio maana hua mnaweka "Visit Tanzania". Kipo wapi sasa hivi?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Jioneee halaf shusha Reply yako.

JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA. Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono SAMIA saiv imekuaje?

#Yanga imewafunza nahisi

Screenshot_20231122-142327_Chrome.jpg
 
Duuuh hii imekaaje kibiashara mdhamini kukaa sehemu mbili kwenye jezi moja?! Mo Extra si ilikuepo toka zamani hilo li Mo Extra kubwa kifuani lina utofauti gani na hicho ki Mo Extra kidogo hapo pembeni?! Kanji katoa mpunga hapo kifuani au kawekwa tu kujaza nafasi?!
 
Jioneee halaf shusha Reply yako.
JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA.
Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono SAMIA saiv imekuaje?

#Yanga imewafunza nahisi

Itakuwa Uzalendo umewashinda
 
Duuuh hii imekaaje kibiashara mdhamini kukaa sehemu mbili kwenye jezi moja?! Mo Extra si ilikuepo toka zamani hilo li Mo Extra kubwa kifuani lina utofauti gani na hicho ki Mo Extra kidogo hapo pembeni?! Kanji katoa mpunga hapo kifuani au kawekwa tu kujaza nafasi?!
Tapeli yule ila nampomgeza hata ningekuwa mimi ndo Mo na ninajua kabisa hawa ni mbumbumbu ningeweka Mo extra hata kwenye nembo ya club
 
Jioneee halaf shusha Reply yako.
JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA.
Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono SAMIA saiv imekuaje?

#Yanga imewafunza nahisi

View attachment 2821654
Mbona nye mliiga mkaweka visit Zanzibar?
Kama una nenda makao makuu dhamini timu ukitaka hata picha ya mke wako itawekwa kifuani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jioneee halaf shusha Reply yako.
JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA.
Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono SAMIA saiv imekuaje?

#Yanga imewafunza nahisi

View attachment 2821654
Ila kama jezi ndio hii nitamuona Kanjibhai kachemka kwa sababu kuna ulazima gani kuweka charter mbili zinafanana zote kwenye upande wa mbele. Au ndo anamaanisha kuna MO XTRA chupa kubwa na ndogo?😀😀😀
 
Back
Top Bottom