Mkataba wa ile mo extra ndogo ulikuwa haujaisha wakaingia mkataba mwingineIla kama jezi ndio hii nitamuona Kanjibhai kachemka kwa sababu kuna ulazima gani kuweka charter mbili zinafanana zote kwenye upande wa mbele. Au ndo anamaanisha kuna MO XTRA chupa kubwa na ndogo?😀😀😀
Nb: mawazo yangu tu