Simba si mlisema nyie wazalendo ndio maana hua mnaweka "Visit Tanzania". Kipo wapi sasa hivi?

Ila kama jezi ndio hii nitamuona Kanjibhai kachemka kwa sababu kuna ulazima gani kuweka charter mbili zinafanana zote kwenye upande wa mbele. Au ndo anamaanisha kuna MO XTRA chupa kubwa na ndogo?😀😀😀
Una hoja usikilizwe😁😁
 
Hiyo kibwa ni mo extra ya buku, hiyo ndogo ni ya jero
 
Labda wameweka huko nyuma Ageuke tuine
 
Kwa kuwa mimi ni mdau wa lugha ya Kiswahili, ningeomba Mods wasaidie kurekebisha maandishi ya thread hii ili iwe sanifu.

Vinginevyo ishushwe tu, haiwezekani jukwaa kubwa kama hili likawa na post isiyozingatia usahihi wa herufi na maneno ya lugha yetu ya Taifa.

Ova
 
B… acha siasa, sio kwamba jamaa amesema yaliyokuchoma kumoyo umekosa cha kumjibu unatafuta sababu dhaifu?
 

Ila wanasimba mkubali tu anachowafanyia mwekezaji wenu, siyo poa hata kidogo. Yaani jezi imechafuka kwa matangazo yake, halafu mwisho wa siku anawalete golikipa garasa kama Ayubu kwa bilioni 3!!

This is unfair. 🙁
 
Kwamba we ni BAKITA?
 
Ndogo ni Ile ya mia 500 Mo extra kubwa hiyo ni Ile ya Mia 600 mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…