monomotapa
JF-Expert Member
- Oct 30, 2012
- 437
- 325
Huu ni upuuzi kabisa kuuleta kwa "Think Tanks Ya Jamii forum"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rage alishawambia hawa jamaa ni mbumbumbuhapana mkuu arsenal wamefunga kwa mkono sekunde ya mwisho hakuna alieng'oa kiti wakat tambwe amefunga kwa mguu.
SIMBA SPORTS CLUB
DAR ES SALAAM
2-10-2016
TAARIFA KWA UMMA
Na mwisho klabu itoe malalamiko yake kwa Waziri wa mambo ya nchi,Mh Mwigulu Nchemba.
Waziri huyu bila shaka amesahau majukumu yake yake ya kazi na kugeuka kiongozi wa klabu ya Yanga.
Tunajua ni haki yake kuwa na mapenzi kwa klabu aliyoichagua.lakini vitendo vyake anavyovifanya vinaacha maswali mengi kuliko majibu.ukizingatia nafasi yake kama Waziri mwenye dhamana ya kuongoza Wizara nyeti.
Itakumbukwa majuzi waziri huyu alifanya ziara Mkoani Morogoro kuzungumza na vikosi anavyoviongoza.
Na inajulikana pia Refarii wa mchezo wa jana Martin Sanya ni mwajiriwa wa Jeshi la Magereza mkoani Morogoro
Sote tulishuhudia Jana Mwigulu alishangilia goli la hovyo la mwajiriwa wake Sanya.
Pia waziri huyu alitoa kauli tata kuwa angetamani siku moja klabu inayoshangilia wapinzani wa Yanga wakipigwa mabomu ya machozi na Askari wa jeshi la Polisi.
Kauli hii aliitoa wakati wa sherehe za kukabidhi zawadi kwa timu zilizoshinda msimu uliopita zilizoandaliwa na wadhamini wa ligi.kampuni ya Vodacom.
Tunajiuliza yale mabomu ya jana pale Uwanja wa Taifa ndio utekelezaji wa maagizo ya boss Mwigulu?
IMETOLEWA NA
KLABU YA SIMBA
SIMBA NGUVU MOJA
Yanga weweKweli club yetu ya simba ni mbumbumbu fc du!
Mabeki waliona ndio maana walisimamaAisee lile goli hata marefa wa ulaya ningewashida kujua kama c goli maana hata wale mabeki wawili waliokua wanamkaba tambwe hawajaona kama tabwe ameshika zaidi alieona kwa ufasaha ni kipa na ndo alinyoosha mkono haraka kuonyesha kwamba tambwe ameshika ule mpira!
Panga???Hawa mikia wakiwakilisha nchi inaweza kutokea aibu has a matokeo yakiwa mabaya kwao wanaweza kung'oa viti vya ndege. Tahadhari kwa ndege zetu hahahaaa
mkuu tambua mpira ni mchezo wa makosa, probability ya kutokea kwa makosa ktk mechi yapo, Goli la Ajib lipo sahihi kwa mtazamo wangu ila ni makosa ya marefa kukataa na ni kawaida ktk sokaSawa goli la Tambwe ni sahihi,je vp kuhusu goli la Ajibu?