Simba Sport Club: Yanga angekuwa Na fedha Simba kombe mngelisikia!

Simba Sport Club: Yanga angekuwa Na fedha Simba kombe mngelisikia!

Ajib hakuweza kuonekana star simba kwa sababu simba ina mafundi wengi na aliposikia okwi anakuja ikabidi asepe, Nyozima alionekana star yanga kwa sababu wachezaji wengi wa yanga ni wa kawaida simba unayosema aina pesa bado ilikuwa inawafunga wakati manji anawamwagia mamilioni
ila nakubaliana na wewe Omog sio kocha mzuri kwa aina ya wachezaji alionao na mpira wanaocheza haviendani
Mlivyo wajinga huyo mchezaji wa kawaida amenunuliwa kwa hela nyingi na anawazidi mshahara hao mafundi waliokua wanamfunika Ajib
 
kama mikia a.k.a "7UP" wanasajili tena kipindi hiki ni laana. hebu niambie katika kikosi chenu ni mchezaji wa namna gani amekosekana?
 
Back
Top Bottom