Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlivyo wajinga huyo mchezaji wa kawaida amenunuliwa kwa hela nyingi na anawazidi mshahara hao mafundi waliokua wanamfunika AjibAjib hakuweza kuonekana star simba kwa sababu simba ina mafundi wengi na aliposikia okwi anakuja ikabidi asepe, Nyozima alionekana star yanga kwa sababu wachezaji wengi wa yanga ni wa kawaida simba unayosema aina pesa bado ilikuwa inawafunga wakati manji anawamwagia mamilioni
ila nakubaliana na wewe Omog sio kocha mzuri kwa aina ya wachezaji alionao na mpira wanaocheza haviendani
nyinyi wenye akili mko wapi akili zenu zote alikuwa amezishika manjiMlivyo wajinga huyo mchezaji wa kawaida amenunuliwa kwa hela nyingi na anawazidi mshahara hao mafundi waliokua wanamfunika Ajib