Simba Sports Club achaneni na nia yenu ya kumfukuza kocha wetu Patrick Aussems kwani tutakuja kujuta na kulia akiondoka

Acha Kusema Vyanzo vya ndani na badala yake sema tu kwamba hii tetesi umeisikia katika ile ' Segment ' ya ' Chabo Chabo ' ya Sports Headquarters ya Efm ya leo.
Asubuhi sina muda wa kusikiliza radio,ila ndani ya simba kuna watu wangu wa karibu hapo kwahiyo baadhi ya mambo nayapata jikoni,nyie subilini redioni
 
Naunga mkono hoja
 
Aondoke zake hana adabu. Anaondoka kwenda kutafuta timu nyingine kihunihuni. Atuachie timu yetu. Wanakuja wenye weledi zaidi. Simba tuna pesa za Mo. Mtu akilete ujinga tunatimua tu.
Mkuu kumbe kipind kile alivyoondoka alienda kwenye mazungumzo na timu mpya???
 
Wale wabrazil tumepigwa mkuu
 
Hizi comments nataman Mo na bodi members wapite wasome mawazo yetu
 
Mkuu una dharau prison na kagera sugar? Unafaham timu zinazocheza na simba uwa zinajiandaa na kukamia all 90mins?
 
Asubuhi sina muda wa kusikiliza radio,ila ndani ya simba kuna watu wangu wa karibu hapo kwahiyo baadhi ya mambo nayapata jikoni,nyie subilini redioni

Acha Upuuzi na katika Lugha adhimu ya Kiswahili hatuna neno ' Subilini ' kama ulivyoandikana neno sahihi ni ' Subirini ' sawa? Ungekuwa na tabia ya Kusikiliza Redio usingekuwa unakosea hivi na kuonekana ni wa hovyo hovyo.
 
Sawa nazikubali sababu ulizoeleza zinazohalalisha Kapombe kuahamishwa namba na Lechantre. Lakini mimi binafsi sikubali falsafa ya kupaki basi. Simba ya Lechantre ilikuwa inaboa sana kuitazama kwani walikuwa wanacheza kujilinda muda wote haijalishi wanacheza taifa au mikoani, wanacheza na Yanga au Ndanda. Habari ya kwenda mpirani kuangalia square pass dakika tisini na kushuhudia kagoli kamoja sio kabisa. Mpira ni magoli mtu anapigwa tatu, nne au akikaa vibaya hata tano kabisa.
 
Gents kwenye post yangu #41 nimesema hii Simba hata ukimpa MATOLA atafanya vizuri sana maana 'dogo' yupo vizuri tactically.

Naona kama uongozi wa Simba wamenisikia inawezekana 'dogo' akaifundisha Simba.

Hapo ndipo utakapoona mpira unaopigwa na Simba. Anazijua vizuri sana timu za bongo na sio za bongo tu lakini huwa anafanyia research timu pinzani kabla ya mchezo na kujua yeye acheze vipi kukabiliana nao.

sio kocha wenu Aussems yeye alikuwa ana approach game kichwa kichwa bila kujua anacheza na timu ya namna gani.
 
Matola hana class B ya CAF unataka akafundishe club kubwa kama simba ?
 
Kocha kafurushwa,haya sasa wale wa kuzira anzeni kutoa tamko.Hahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…