Simba sports club hii ni aibu haswa kwenu

Ilo gari ndio uongozi wa mbumbumbu fc umejitutumua kuwabeba wachezaji kushangilia ubingwa, MO amekaa pembeni ana cheeeeeka. Hii inaonyesha level halisi ya klabu ya Simba bila MO.yaani upepo umepuliza tumeziona nyeti za mbumbumbu fc.
Hahaha unakwama bro hyo ni mihemko ya wazi kabisa .
 
Reactions: Tui
Nina hofu MO, hatatoa hela za usajili mwaka huu. Club lazima ijiendeshe!
Simba haisajili mwaka huu, vikosi viwili vilivyopo vinatosha kushiriki ligi sambamba na kimoja kikashika namba moja kingine namba mbili
 
Kwan hawakufika, utakufa masikini kwa kucomplicate mambo.
 
Reactions: Tui
Bingwa wa Nchi, Bingwa wa ngao ya jamii na Bingwa wa kombe la Shirikisho. Hupendi na kama unateseka. Kanunue kamba na kama haitoshi ongezea na dawa ya panya.
Au ni kichaa cha mbwa?Si unajua mbwa mwenye kichaa huwa anapigwa risasi 4 tena za shingo.
 
Kitu watu hawajui mm ni shabiki wa Simba ila haijanipendeza kwakwel. Yale magari ya promotion za coca cola mpaka yanatushinda. Kwa brand ya Simba tena ya Mo hapana jamani
Nimeona wanasema mnabana matumizi eti. Lol

Sisi tumezowea magari kama yale kuyatumia kubebea machungwa kule kwetu TA sasa kubeba wachezaji ambao huwa mnasema wana thamani ya mamilioni kuwaweka mule ni aibu ya mwaka.

Cc. Sanchez magoli.
 
Umemaliza. Show off za nini wakati kombe unalo!!!
 
Reactions: Tui
Tuache tu.
 
Ilo gari ndio uongozi wa mbumbumbu fc umejitutumua kuwabeba wachezaji kushangilia ubingwa, MO amekaa pembeni ana cheeeeeka. Hii inaonyesha level halisi ya klabu ya Simba bila MO.yaani upepo umepuliza tumeziona nyeti za mbumbumbu fc.
Naomba picha ya gari ya Yanga wakishangilia ushindi! Sio ya Madrid please.
 
Mleta mada amejiita "mjumbe". Muonee huruma. Wajumbe sio watu wazuri. Wanakuambia tupo nyuma yako, ukigeuka hawapo.
 
Reactions: Tui
Kitu watu hawajui mm ni shabiki wa Simba ila haijanipendeza kwakwel. Yale magari ya promotion za coca cola mpaka yanatushinda. Kwa brand ya Simba tena ya Mo hapana jamani

Unapokuwa una Mke then ukaishia kuzilalamikia aibu za Mke wako hadharani basi tayari umeshakosa sifa ya kuitwa Mume.
Simba haina Shabiki mwenye akili za Kiutopolo kama wewe.
Tafadhali baki na Timu yako Manyani FC.
 
Nimeona wanasema mnabana matumizi eti. Lol

Sisi tumezowea magari kama yale kuyatumia kubebea machungwa kule kwetu TA sasa kubeba wachezaji ambao huwa mnasema wana thamani ya mamilioni kuwaweka mule ni aibu ya mwaka.

Cc. Sanchez magoli.
Tulizingua kinoma mtani

Tutakalolipanda 2020/2021 (si unajua ni miaka 10 mfulilizo 😀)

Natumai kanjibahi atakuwa amejifunza nini mashabaiki wanataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…