Simba sports club hii ni aibu haswa kwenu

Simba sports club hii ni aibu haswa kwenu

Hii iwafikie viongoz wote wa club pendwa ya Simba sports club. Hii sio sawa hii sio sawa kabisaa kwa adhi ya club ya Simba Mimi ni shabiki tena kindaki wa hii timu. Mara ya mwisho mimi nilikodi canter kama hii ikanichukulia vitu vya ndani kutokea g/mboto mpaka mbezi kwa Tsh 80,000/= za kitanzania.

Hili ndio gari wanaloliita la wazi liliwabeba wachezaji wa Simba Leo kutokea airport kuelekea makao makuu ya club msimbazi k.kooView attachment 1526498
Kama inauma chomoa
 
hiyo gari yenyewe katoa mo ilikua inambaza TAMBI
 
Ivi yale Magari ya Wazi yanayobeba Timu za Ulaya ambalo na wewe ulitegemea ulione kwa Simba Tanzania lipo japo moja? Au yanapatikana wapi hapa Tanzania?

Mambo mengine tusiangalie ushabiki tu au nawewe uonekane umeanzisha Uzi! Hata kwenye Matamasha yetu na Mikutano ya Vyama vya Siasa tunatumia Malori na Macanter kwasababu ndiyo magari pekee ya wazi yanayopatikana Tanzania, Lakini wewe unatarajia uone Magari ya Wazi ya Ulaya wakati Tanzania nzima hakuna hata moja?

Tofautisha Simba na Real Madrid wanapobeba Kombe.

"Tupunguze Mihemko"
sio kama yale ila tambua kuna magari ya wazi mazuri yanakodishwa mfano angalia ktk promotion za vinyaji au makampuni ya simu utajua gari zipo
 
Nani anauza ndizi?Naona nyani wamekata fensi. Pia kuna mbwa wengi wanabweka. Ule msimu wao wa kujamiiana umefika?
Msimu wa usajili huwa wanabweka sana ila msimu ukiisha wanakubali matokeo licha ya visingizio.
Abassi Tarimba Mwenyekiti wa Zamani wa Utopolo katamka Simba Oyee baada ya kuukubali ukweli lakini mbwa jike wachache bado wanaendelea kubweka. Majina haya:
Mbwa na Nyani ni kwa hisani ya Luc Eymael
 
Utopolo mnahangaika Sana, tuliwatoa kwenye ASFC, kwenye fainali mkajifanya mko Namungo tukawanyoosha!

Level zenu gwambina Fc siyo Simba Sc

Hahahaaaaa,mpira umewashinda sasa hv wamehamia kwenye magari
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Vyura mmeshindwa hata kumuwekea kocha wife na king'amuzi cha lakimbili ndo mngeweza kununua basi la wazi kama mngekwaa ubingwa?
 
Back
Top Bottom