Simba Sports Club kazi mnayo

Simba Sports Club kazi mnayo

Uzi umekusanya vibwengo wa Utopolo wanalishana upepo tu. Yanga wapuuzi wengi sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa. Hawa vibwengo wanataka tu kuivuruga timu yetu.

Sisi mashabiki tuna imani timu yetu msimu huu inaingia nusu fainali, na tutayatetea makombe yote yaliyobakia kwenye ligi kuu msimu huu.
 
Mm nina wasiwasi na CDM na ST. Nafasi zingine zote tupo sawa.
 
Nadhani majibu na KMC Leo tumeyaona hamna timu jamani tuendelee kujifariji tuu
 
Back
Top Bottom