Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
kwa hiyo sharia za soka zinasema ukifungwa uwanjani nenda kadai point za bure bure mezani?Hujui Sheria za soka shabikia CCM mkuu
Samba ni ngoma ya kibrazilsamba walifungwa na Kagera sugar kihalali kabisa ............Simba ilitakiwa wawe makini uwanjani ili wasifungwe sio kutaka point za bure bure
Zinasema ukichezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano unapokwa point 3 na goli 3 anapewa your opponent upo??kwa hiyo sharia za soka zinasema ukifungwa uwanjani nenda kadai point za bure bure mezani?
Waulize FIFA Ndio walitunga kanuni hiihakuna ushahidi ulio nyooka pande zote, kamati ya saa 72 imeunga unga ushaidi mpaka kagera kapokwa point
now tume hii nayo inaunga unga ushaidi ili kurudisha point kwa wenyewe..
nna uhakika kuna watu wame foji taarifa maana ushaidi umekuwa wa kuunga unga si simba wala kagera
ila mpaka sasa sijafahamu izi point 3 na magoli ma 3 alizo pewa simba mfungaji alikuwa nani na dk ya ngapi
Sawa Jamal MalinziKAGERA SUGAR WATARUDISHIWA POINTI ZAO MECHI MOJA KABLA YA LIGI KUISHA.
narrow minded people always are pessimistkwa hiyo sharia za soka zinasema ukifungwa uwanjani nenda kadai point za bure bure mezani?
We jamaa hamnazo kweli,kama ligi imewashinda jiondoeni yaani ufungwe halafu ujidai unajua sheriaZinasema ukichezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano unapokwa point 3 na goli 3 anapewa your opponent upo??
katika vyote wee hio ndio umeona ni point ya kusimamiakwa hiyo sharia za soka zinasema ukifungwa uwanjani nenda kadai point za bure bure mezani?
Wewe Ndio kiazi kabisa hiyo ni kanuni imeandikwa na Ndio imetumika kuihukumu kagera na ilishahukumu timu nyingi sana ikiwepo simba yanga na azam sasa kwa kuwa unatumia makalio yako kufikiri huwezi kuelewaWe jamaa hamnazo kweli,kama ligi imewashinda jiondoeni yaani ufungwe halafu ujidai unajua sheria
mkuu sijauliza kanuni imetungwa wapiWaulize FIFA Ndio walitunga kanuni hii
Kwani nyie mlipopewa hizo point na magoli mliambiwa nani kafunga? Au Yanga haijawahi kupewa point za mezani???mkuu sijauliza kanuni imetungwa wapi
nimeuliza goli 3 za simba dhidi ya kagera (_goli za mezani ) wafungaji ni nani na nani?
we sema wafungaji ni akina nani na magoli yalifungwa dakika ya ngapi?Kwani nyie mlipopewa hizo point na magoli mliambiwa nani kafunga? Au Yanga haijawahi kupewa point za mezani???
Sibishani na mbumbumbu Kama wewe nenda kabishanie kijiweni kwako na wa size yakowe sema wafungaji ni akina nani na magoli yalifungwa dakika ya ngapi?