Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,607
- 4,263
Kwa nini ushahidi utafutwe-tafutwe? Kwani rekodi za matukio ya mechi hizo hayapo? Kwa nini suala la kadi ya njano liwe kizaazaa namna hiyo?Viongozi Na wanachama wa Simba kuweni makini Na sakata la Pointi 3 zinazopiganiwa Na klabu ya Kagera.Kwa taarifa yenu Yanga iko nyuma ya klabu ya Kagera wakishirikiana Na uongozi wa Juu wa TFF wakiongozwa Na Rais wake Na Katibu MKUU.Ushaidi umekuwa wa kutafutatafuta wakati maamuzi yalikwisha tolewa Na Kamati husika.
Kwa kawaida mchezaji anapopewa kadi ya njano wanasema amekuwa "booked", yaani ameingizwa kwenye "buku la mwamuzi", na jina/identity yake inarekodiwa on the spot. Sasa inawezekanaje leo uwepo ubishi wa mchezaji kupewa au kutopewa kadi ya njano?