Simba sports club kuweni makini TFF kupitia Kagera wanataka kuisaidia Yanga.

Simba sports club kuweni makini TFF kupitia Kagera wanataka kuisaidia Yanga.

Hahaa mtu anapenda mpira bila kujua sheria mnapouliza alifunga nan hivi FIFA wameelekeza kuwa opponent team lazima igawe yale magoli kwa wachezaji au mnataka kubishana tuu
 
Tuache kulalama jaman kama marefa wakinzana unadhani Jana wangeamua Nn ni lazima wapate ushaid zaidi na ndio mana Jana katbu alisema walipowahoji walokuwepo ikaonekana kuna wengne zaid wakahitajka kutoa ushaidi tofaut na wao walivyodhani ndo mana wameairisha mpaka leo , hebu tuwe wenye kusubiri kama ni haki ya simba basi watapata lakin kupewa point na kamati ya SAA 72 isiwe kielelezo cha kuhalalisha ushindi wa simba ni lazima kujiridhisha kwanza mana kuna mambo mengi ndani yake pengine rushwa ilitumika kwahiyo tupunguze mihemko
 
HIVI MHESHIMIWA RAISI AWEZI KUVITUMBUA HIVI VIJIPU VIWILI(SIMBA NA YANGA) AZIFUTILIE KABISA ILI SOKA LETU LIWEZE KUKKWAMUKA KATIKA GIZA NENE LILOPO...MAANA UHALIBIFU WOTE WA SOKA HIZI CLUB NDIO WANACHANGIA
 
Sibishani na mbumbumbu Kama wewe nenda kabishanie kijiweni kwako na wa size yako
Nina Wasiwasi na Ushabiki wako kwa Klabu ya Simba.

Hivi unashindwaje kujua wafungaji wa Magoli yenu matatu dhidi ya Kagera?
 
Soma sheria za soka.. Utaelewa..!

Mbona Sheria hapa ilivunjwa.. Ukizingatia muda wa kuwasilisha rufaa...!

025519af4a58af87f9918d0951f30948.jpg
 
kwa hiyo sharia za soka zinasema ukifungwa uwanjani nenda kadai point za bure bure mezani?
Nani amekwambia za bure? Soka ina taratibu zake ambazo lazima zifuatwe. Kama unafuatilia soka ya Tanzania vizuri utagundua kuwa siyo mara ya kwanza timu kupokwa points kwa kosa kama la kagera. Kuna mwaka hata Simba walipokwa point akapewa kagera kwa kumchezesha Musa Hassan Mgosi kwasababu alikuwa na kadi 3 za njano. Jambo hili lilisababisha Yanga akachukua ubingwa. Kama unalijua hili utakumbuka kuwa Simba hawakuleta figisufigisu kama za sasa.
 
simba walifungwa na Kagera sugar kihalali kabisa ............Simba ilitakiwa wawe makini uwanjani ili wasifungwe sio kutaka point za bure bure
Sawa, sheria pia zipo. Kama si Simba basi klabu nyingine ingelalamika tu.
 
Tatizo siyo kupewa point tatu, ila ni sheria na kanuni zina mapungufu. Ili kukata mzizi wa fitina ilipaswa Kagera apokwe Point, lakini Simba pia asipewe point za mezani. Hali kadhalika kuwe na adhabu nyingine siyo kupokwa point tu ndiyo inatosha.
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana yaani mpira huchezwe bila sheria na kanuni? Akili zingine bwana ni za usiku tu mchana mtaua watu
Sasa ueshindwa uwanjani huoni sasa mnavyoteseka kuomba point 3 na tff hawana kumbukumbu muda wa kusaka point 3 ni uwanjani huku nje sio rahis ukilaza unawasumbua

Sent from my SM-T561 using JamiiForums mobile app
 
hakuna ushahidi ulio nyooka pande zote, kamati ya saa 72 imeunga unga ushaidi mpaka kagera kapokwa point

now tume hii nayo inaunga unga ushaidi ili kurudisha point kwa wenyewe..

nna uhakika kuna watu wame foji taarifa maana ushaidi umekuwa wa kuunga unga si simba wala kagera

ila mpaka sasa sijafahamu izi point 3 na magoli ma 3 alizo pewa simba mfungaji alikuwa nani na dk ya ngapi
Mbona wakitka ushahidi ulonyooka ni simple tu,waende azam tv wakaombe rekoded mechi zote tatu waangalie km kweli Fakhi alipewa kadi kwenye hizo mechi.....wasitufanye kama mazuzu...
 
Simba sc na hiyo kamati wote wehu,refs msaidizi ameojiwa amesema hakuna mchezaji wowote wa kagera aliyepewa kadi ya njano
 
Mbona wakitka ushahidi ulonyooka ni simple tu,waende azam tv wakaombe rekoded mechi zote tatu waangalie km kweli Fakhi alipewa kadi kwenye hizo mechi.....wasitufanye kama mazuzu...
Mkuu hata mimi nashangazwa, kwa nini wasiangalie mkanda wa video uliorekodiwa na Azam Tv! Yaani ni kama wanalazimisha kusukuma gari wakiwa ndani wakati wanaweza kushuka na kusukuma na safari ikaendelea!!!!
 
Simba bwana, sasa mlifungwa mnataka nini tena?
 
Hivi mpira wa leo una hezwa bila kurekodiwa? Iwe kwenye. Video au hata anaetoa kadi si anarekodi sehemu,kwannnin kiwe kitu cha kubishanaa
 
Mbona wakitka ushahidi ulonyooka ni simple tu,waende azam tv wakaombe rekoded mechi zote tatu waangalie km kweli Fakhi alipewa kadi kwenye hizo mechi.....wasitufanye kama mazuzu...
Ah....ndg yng weeeeee hawa jamaa wametafuta mechi ambayo haikurekodiwa la cvyo mbona ktambo tu ishu ingeisha? mi yananikera sana kufosifosi mambo muda wanaodai Fakhi kupewa kadi alikuwa tyr keshatolewa baada ya kuumia!
 
Viongozi Na wanachama wa Simba kuweni makini Na sakata la Pointi 3 zinazopiganiwa Na klabu ya Kagera.Kwa taarifa yenu Yanga iko nyuma ya klabu ya Kagera wakishirikiana Na uongozi wa Juu wa TFF wakiongozwa Na Rais wake Na Katibu MKUU.Ushaidi umekuwa wa kutafutatafuta wakati maamuzi yalikwisha tolewa Na Kamati husika.
Naomba kukuliza mtoa mada

Simba kadi ya tatu wali itowa wapi?

Kama TFF wenyewe hawana rekodi za mechi.. walitumia njia gani kuwapa Simba alama 3?

Kama refa aliye chezesha ana sema hakutowa kadi kwa mchezaji huyo. Je waliwezajekuingilia maamuzi ya refa ya kulazimisha ushindi?

Kama mchezaji husika ana kubali ana kadi mbili za njano na sio tatu. Je kwa nini walitumia njia hii ya kutaka kuwa didimiza wenzao ili hali walishinda kihalali?

JE NYUMA TA KAMATI Ya masaa 72 iliyo wapa alama 3 simba nyuma yao walikuwa wakuna nani?

Kama maamuzi ya kamati ya masaa 72 yalichelewa kutoka na hamkulalamika kwa nini kamati hii imechelewa Simba ndiyo wakwanza kulalamika.?


SIMBA RUDINI UWANJANI MCHEZE MPIRA...MPIRA HAUNA NJIA ZA MKATO...TFF warudushe alama 3 kwa Kagera ili mpira urudi uwanjani. HAKUNA MTU ANAE PENDA KUONA VITU VINAVYO ANGUSHA SOKA LETU LITOKEE...


SIMBA RUDINI UWANJANI
 
Back
Top Bottom