Simba sports club kuweni makini TFF kupitia Kagera wanataka kuisaidia Yanga.

Kwa nini ushahidi utafutwe-tafutwe? Kwani rekodi za matukio ya mechi hizo hayapo? Kwa nini suala la kadi ya njano liwe kizaazaa namna hiyo?

Kwa kawaida mchezaji anapopewa kadi ya njano wanasema amekuwa "booked", yaani ameingizwa kwenye "buku la mwamuzi", na jina/identity yake inarekodiwa on the spot. Sasa inawezekanaje leo uwepo ubishi wa mchezaji kupewa au kutopewa kadi ya njano?
 
Tatizo siyo kanuni,tatizo ni wenye mamlaka kuandaa mazingira ya kumbeba mzee wa 4G. Malinzi akumbuke tu kuwa,kamati ya saa 72 iliundwa na TFF,kwa hiyo wawe na imani nayo. Aidha,kama suala ni rufaa,huwa hakuhitajiki kikao cha kukusanya mashahidi upya BALI kupitia taarifa za hukumu ya awali ili kuona wapi palienda vibaya au kinyume na kanuni.
 
Wadau wa soka hapo mnagundua nini?
 

Attachments

  • IMG_20170419_172753.jpg
    92 KB · Views: 25
Kuisaidia nini wakati mliongoza point 8 zimerudi alafu mngekuwa mnajua soka mngewafunga kagera tu ila waliwazid ndio maana mmekimbilia mezani.
 
Kukiwa na mashaka, benefit huenda kwa mtuhumiwa, hiyo ndio kanuni, sasa km ushahidi ni wa kuunga unga kwa pande zote mbili basi kagera wapewe point zao.
 
Mkuu imekuwa nongwa sana Simba kupewa alama 3 ambao ni katika sheria za soka

Ajabu ni kuona kuna watu wacheua povu tu ilhali si mara ya kwanza kutokea timu kupokwa point..!
Simba chezeni mpira uwanjani otherwise nyie yangu Leo mtaitwa Ombaomba FC aka Matonya fc
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…