kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Simba Sports Club Wawakilishi Pekee Katika Michuano ya Kimataifa Jioni Ya Leo Wapo Kazini Kutetea Bendera Ya Taifa...Bendera Ya Nchi ya Tanzania.Kama ilivyo desturi kwa Watanzania inapotokea Jambo La Nchi ..Utani unawekwa Pembeni.
Nduli Iddi Amini alisambaratishwa Kwa Kuwa lilikuwa Jambo la nchi.
Asec Mimosa ndani Ya Dk 90 anaenda kuwa Adui Wa Taifa...! Adui Wa Nchi.
Dua ni muhimu Sana Kwa Kila Mtanzania.
Baada ya Dk 90 njooni tuendelee kutaniana.