mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Mke mwema , umeshamaliza kuwafulia mashuka na kuwatandikia vitanda lakini? Isijekuwa unapiga tu domo humu jamvini kumbe hata jukumu lako la msingi kama mke hujatimiza.ASEC jisikieni mko nyumbani kabisa!