Simba Sports Club na ubunifu wa hali ya juu usio na tija

Simba Sports Club na ubunifu wa hali ya juu usio na tija

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935


FcZKkcVWYAA834X.jpeg
Screenshot_20220912-114320_Chrome.jpg
 
Nimetumia muda mwingi kukodolea sura,nywele,miguu na hata viatu za walimbwende hawa na siyo jezi.ila pia ubunifu umetumika!
 
Hizo zimebebwa na hizo pisi, ukutane na sisi kina mwajuma ndala ndefu tumezivaa utaona kituko chake
 
Kwani kuna ulazima wa tija kuiona nyie na wala si wale walioleta ubunifu..!?
 
Kwa mujibu wa ukurasa wa CAF. Sasa mliocheza na chekechea hata hamtambuliki kama mlikuwa na mechi
 

Attachments

  • Screenshot_20220912-190107.png
    Screenshot_20220912-190107.png
    147.3 KB · Views: 4
Simbaaaa ni kuuuubwaaa usipoiongelea kwenye hili utaongea kwny lile,yani ni kama Yan'gaaaaa haipo
 
Back
Top Bottom