myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Na warembo wengi watavaa.....Wasichojuwa wengi tunavutiwa na hao warembo na siyo hayo matambara waliyovaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na warembo wengi watavaa.....Wasichojuwa wengi tunavutiwa na hao warembo na siyo hayo matambara waliyovaa.
Kwa urembo huu wacha tu wananchi tujipigie magoli.Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
View attachment 2354288View attachment 2354289
Hii no akili ya Vunjabei.Wasichojuwa wengi tunavutiwa na hao warembo na siyo hayo matambara waliyovaa.
Kwa urembo huu wacha tu wananchi tujipigie magoli.
Kinyoooonge sanaKwa urembo huu wacha tu wananchi tujipigie magoli.
Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
Kumbe wewe ndio edo kumwembe!!!
HahahaKwa urembo huu wacha tu wananchi tujipigie magoli.
Huu ni uchafu daraja la kwanza, sijui hiyo ni kanzu au kijora?Na kwa uchafu huu una lolote la kusema?View attachment 2354474
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Haha hahah hahaMbona mnateseka sana na mambo ya Simba? Kama nyie nyani wa pori la Utopolo hamzipendi wenyewe tunazipenda na hizi ni kwa ajili ya wana Simba na wengine wenye akili timamu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app