Simba Sports Club na ubunifu wa hali ya juu usio na tija

Simba Sports Club na ubunifu wa hali ya juu usio na tija

Simbaaaa ni balaaaa yani nyie uto bado sanaaa kufikia level hizi
Screenshot_20220912-194247_Instagram.jpg
 
Wasichojuwa wengi tunavutiwa na hao warembo na siyo hayo matambara waliyovaa.
Hii no akili ya Vunjabei.

Hawa wakinga ukiachana na kuchuma mitaji mikubwa kuwekeza kwenye hizi biashara za rejareja ,hawana maajbu ya maana kibiashara.
 
Back
Top Bottom