Simba Sports Club safari bado tunayo haijaisha, tuzidi kupambana kwa maslahi ya Klabu na Nchi

Kwanza game ijayo utakua taree ngapi?
 
Humtuambii kitu Vyura [emoji196][emoji196] kwanza wewe ni katika wale wahamiaji haramu.

Simba Taifa Kubwa..Unajua maana yake kuitwa hivyo tangu enzi hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaufahamu umoja wa mataifa? Hata mnapojifananisha na Barcelona na PSG hujiona mko sahihi.Subiri Ahly Ahly aje akule vyombo.Lazima mkia uliwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unakwepa swali langu? Ok...Na hii tuite namna gani mkuuView attachment 999961

Sent using Jamii Forums mobile app
HATUISHI KWA KURUDI NYUMA BALI TUNAISHI KWA KWENDA MBELE, LINI ULIWAHI KUTEMBEA KINYUME NYUME WW?

5 -0 NI UDHALILISHAJI, NA PIA MUMSHUKURU SANA MWAMUZI NAYE ALIKUWA NI MSHABIKI WA SIMBA FC, LA SIVYO KWA WALE TUNAOUJUA MPIRA VIZURI TUNAJUA KIUHALALI JANA SIMBA ALINYUKWA 6 - 0.

EBU FAFANUA VIZURI GOLI LA SITA LILIKUWA OFFSIDE KWA MISINGI IPI HASA KWA SHERIA ZA SOKA ZA FIFA, KAMA SIYO TU HEKIMA ZA REFEREE KUWASITIRI KWA FEDHEHA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kukubali maana ulijitoa fahamu hapo..!

Kwangu mbona yamepita tangu Jana mkuu..Naangalia mechi zingine
teh teh unafukua makaburi wenzio maumivu yalishaisha.
Kipigo cha hana bado cha moto moto kunauma mpaka kwa moyo
Poor simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew unataka nn?
 
Hapo umeandika nini sasa..! Mkuu hayo maherufi makubwa yanaumiza macho..! [emoji196][emoji3][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namna pekee ya kurekebisha kwenye Sehem ya ulinzi ni kusajili tu hakuna namna nyingine wachezaji wote wa simba uwezo wao uliishia pale hakuna namna wangefanya na hata taifa hakuna namna watafanya labda simba ikomae ichukue point kwa Waalgeria au wamisri hawa wakongo ni moto sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeongea vema..Lakini kusajili kwa sasa muda umepita hiyo ni mipango ya ijayo.

Unajua timu inaonekana dhaifu ikifungwa..wakati Simba imefungwa na Nkana kule Kiwe, Zambia..Nkana ilionekana ni bora sana na sifa za akina Bwalya. Lakini walipokuja kupigwa marudio na Simba hapo Simba ilionekana ni bora kuliko Nkana, hilo ndo soka

Nina imani makosa yatarekebishwa na Usajili ujao utakuwa bora na makini

SimbaNguvuMoja


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia ukienda Kongo ukifika Customs (Uhamiaji) lazima ukate viuno ili uonyeshe mapenzi yako kwa taifa la Kongo.

Simba walikataa. Taarifa zikawafikia AS Vita, wakawajibu ubamiaji kuwa wasijali.

Kilichotokea 5-0.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…