Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
😀😀😀😀Ilikuwa hakuna namna lazima iwe hivyo. Na tumejipanga kuhakikisha hampati tena nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mlipokuwa njiani kwenda Congo si mlijipanga, eti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀Ilikuwa hakuna namna lazima iwe hivyo. Na tumejipanga kuhakikisha hampati tena nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀
Hata mlipokuwa njiani kwenda Congo si mlijipanga, eti?
Hatukwenda Shinyanga na MATARUMBETA, tulikuwa humble kama kawaida yetu. Ndio maana hatusemwi sanaTulijipanga lakini mwisho wa siku mpira una matokeo matatu.
Kwani unataka kusema mlipokwenda Shinyanga hakujipanga?
Sent using Jamii Forums mobile app