Simba Sports Club safari bado tunayo haijaisha, tuzidi kupambana kwa maslahi ya Klabu na Nchi

Mwenzako unaongea football wewe unaongea fanatics.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli tunahitaji kusajili lakini kwa sasa kocha alitakiwa kufanyia kazi forms za natural/orthodox backs kama Mlipili na Paul Bukaba.

Hawa jamaa ni mabeki wa asili na kama wakitumiwa vizuri wanaweza kutusaidia kwenye away games.

Mfano Mlipili anaweza kucheza namba 2, Bukaba 3 au Ahsante, 4 anacheza James Kotei na 5 anacheza Juuk Murshid. Kama wakiweza kutengeneza match fitness ya wachezaji hawa wanaweza kutusaidia ugenini lakini sio Wawa wala Gian wala Shabalala.

Hata kocha pia sio mzuri, huwezi kuwa na approach moja kwenye kila mechi, zaidi sana kwa nini Simba wamchukue kocha mpya na kumuacha aliyewapa ubingwa wa ligi? Tulikuwa na makocha wazuri sana Leshante na Masoud wakatupa ubingwa bila kufungwa mie naona wale.walikuwa na excellent game.knowledge kuliko huyu mbelgiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe ulietunza bikra yako ukaenda kufilwa na wahuni wa stend unatwambia nini? Tuachie simba yetu pambaneni ya yanga yenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mmeshindiliwa ‘vitano’ tena kwenye cku zenu za ‘hatari’ vya nguvuu kabisa alafu mnajipa matumaini kuea hamja bebeshwa ujauzito?? alooo ebu acheni masihara!!
 
Hatujatoka bado safari inaendelea, maana unajazba mpaka unaandika ujinga..Vyura[emoji196][emoji196]
Yaani mmeshindiliwa ‘vitano’ tena kwenye cku zenu za ‘hatari’ vya nguvuu kabisa alafu mnajipa matumaini kuea hamja bebeshwa ujauzito?? alooo ebu acheni masihara!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…